Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

JESHI LA MTU MMOJA ♥️...
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hakika, JPM alikuwa Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu, Mwanamapinduzi wa kweli, Mkombozi wa kweli wa Watanzania wanyonge.
JPM alitamani Watanzania wote tuwe na kipato kinacholingana.
RIP JPM, BABA YETU MPENDWA NA MZALENDO WA KWELI.
Mungu akupe pumziko la milele. Amina.
 
Maji hamna,
Umeme kila saa unakatikq,
Masoko yanaungua kila leo,
Tozo,
Wamachinga walifurushwa,
Miradi yote imekwama....

Zumaridi anawarembulia tu waumini wake,kila siku kiguu na njia.
Tumekwama.
 
Happy birthday Dr John Joseph Pombe Magufuli. !
Huko mbinguni ulipo unaendelea kufanya kazi ya kuliombea Taifa Kwa Mungu ukishirikiana na Baba wa Taifa.
... hizi doctrines nyingine hizi! Huwa mnazitoa kwenye maandiko yapi?
 
Tutakuenzi na kuyafanya yote mema uliyoyaacha JPM

Unapendwa saana na watu wa maisha ya kawaida, ni Kwa sabb hata wewe, hukupenda kujikweza kujiweka mbali na masikini, wanyonge, wasiokuwa na sauti popote pale

RIP JPM
 
Hakuna Birthday ya Marehemu , mtu akishakufa na hadithi zake zinazikwa hapohapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…