Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Mila hairuhusu kutumia trekta kulima. Mazao hayatatoka. Sisi tunatumia ng’ombe na jembe la mkono😂
Ni wapi huko? Maana kwetu sisi kulimia jembe la mkono au mfugo ni hatua ya mwisho kabisa ya umaskini.

Ni taboo kwanza. Jembe la mkono linatumika kwenye palizi tu labda kama mtu akipungukiwa hela ya kunyunyuzia dawa ya kukausha majani kwa helicopter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…