Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kijana niku ulize swali???, Usha wahi ona ghorofa Lina jengwa kwa siku 1 🤔Mzee wangu huku na mapambano tu.
Sijawahi kuuona unafuu hata siku moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana niku ulize swali???, Usha wahi ona ghorofa Lina jengwa kwa siku 1 🤔Mzee wangu huku na mapambano tu.
Sijawahi kuuona unafuu hata siku moja.
Nitakuwa nakupa lift. Birthday yangu ni kesho kutwa kesho kaanze kulinunua.Hapo sawa. Una akili sana. Umechagua John Deere chuma chq kazi.
AminMy blood kabisa. I love you, and that will never change. Thanks for everything...
LIft tena? Nikajua utakuwa unalima unaniletea hata vigunia vya mazao nile.Nitakuwa nakupa lift. Birthday yangu ni kesho kutwa kesho kaanze kulinunua.
HiAmin
Mila hairuhusu kutumia trekta kulima. Mazao hayatatoka. Sisi tunatumia ng’ombe na jembe la mkono😂LIft tena? Nikajua utakuwa unalima unaniletea hata vigunia vya mazao nile.
Ni wapi huko? Maana kwetu sisi kulimia jembe la mkono au mfugo ni hatua ya mwisho kabisa ya umaskini.Mila hairuhusu kutumia trekta kulima. Mazao hayatatoka. Sisi tunatumia ng’ombe na jembe la mkono😂
Kwamba mmebaki wawili tu [emoji16][emoji16] . Happy birthday Heaven sentTeam true love mwenzangu, wanawake pekee tuliobaki wenye mapenzi ya dhati kwa wenzi wetu [emoji1]
Happy birthday darling Heaven Sent
Lakini si tulikubaliana wewe ni twin wangu jamani? Kulikoni tena December hii?
Msisahau na matoke nkamuUsiache kuweka namba ya simu tukutumie zawadi ya maparachichi, nkamu.
Ahsante sana mkuuHappy birthday
Ahsante sanasanaHappy Birthday to Her.
Kila la kheri kwake.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mama Muinjiliiiiii; a big AMEN. Love you big timeHappy birthday Mama muinjili
Nakupenda sana sana
Yesu akutunze vyema
Ikabarikiwe kazi ya Mikono yako
Kikapu chako kikajae kama cha mwanamke wa Selepta!!!
Kamwe usipungukiwe in JESUS NAME!!
Mchana mbao, nimekumiss jamani. Thank you kipenziKwamba mmebaki wawili tu [emoji16][emoji16] . Happy birthday Heaven sent
Thank you wise manHappy birthday wise lady...