Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Heaven Sent

Mama maleziiii, happy belated[emoji512][emoji512][emoji512].
Ishi maisha marefu na ya barakaa teleee.
Kuna kitu unacho na umefika mbali tayariii.

Kikubwaa ni hiviii coca amefaidika sana na wee, napokupenda sasa wee sio MNAFIKII.

Ishii mama maleziii, huna bayaaaa.
[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cocaaaaa this means a lot dear; Happy belated birthday to you too. Bado nachechemea ila inshallah nitafika tu mbali. Aisee nahisi most of us Sagittarians (including you) are blunt; we don't sugar coat things.

Sema nini mdogo angu; I adore your maturity; big time. Mtoto mdogo ila una upeo na busara ya kuona na kung'amua mambo kama mhenga mwenye busara vile. Utafika mbali; Jah aendelee kukuongoza...
 
Fijho naloli!
 
Aisee tuombe uzima mdogo angu; naamini kuna siku tutakaa meza moja na kuongea kwa kirefuuu. Mungu aendelee kuibariki na kuitunza familia yako. Keep on enjoying your marriage; and rejoicing in the man of your youth
Naamini tutaonana siku moja.

Mungu Akulinde please.

Mwaka mpya huu ukaje na new blessings kwako, hubby, the kids na kila mtu anayefahamiana nawe. Kwamba ukafanywe kuwa chemchemi (oasis) ya busara, encouragement na positivity katika jangwa la wahitaji katika saa ya kupungukiwa kwao. Tuombeane dadangu. Hujui tu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
 
Paragraph ya 2 mama maleziii, imenikoshaaa mnoooo.
Kuna ka feeling fulaan kamenijia, woiiiiih
Barikiwa sanaaa [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji482][emoji482]
 
Please naomba unitafute PM
 
Happy Birthday, Mama Mchungaji 🌸 On this special day, I just want to celebrate the beautiful light you bring into the world. Your kindness, wisdom, patience, understanding, forgiveness, genuineness, friendship and loving heart touches everyone around you. You have a gift for lifting others up and unconditionally guiding them with such humility, grace and clarity even on their darkest moments in life. May this new year of life bring you as much peace and joy as you so selflessly give to others. Wishing you and your loving family God's endless blessings and joy; today AND ALWAYS. THANK YOU NKAMU !!!πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

 
Wow wow wow.
This means a lot "changamoto".. I truly appreciate. Ahsante sana Mtumishi.. Nimebarikiwa sana sanaaa. AMENπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…