Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Mwifwa usinkumbushe hizo dawa na griomsulvin yaani naona zimeota mizizi mwilini mwangu
yna4 unamuonaje dogo? Demiss nachokupendea unajikubali na umegundua makosa yako umejirekebisha mshike sana daktari,hao wanaokuchukia mafala tu nakuonaga uko na maisha yako hunaga umbea umbea wala utindiga humu,dodoma pale chako ni chako kwa Zai ushakula makange yake?mimi bana huwa nayaotaga na nkifika dom lazima niyatafute,achana na vitumbua na bagia za barabara ya 9.
 
Na kapicha kako... Ntakapost.... Long live malkia wangu wa chitchat... Mungu akuongoze na kukuongezea kheri... Nitarudi.. Safari sio kifo... Happiest birthday ever...
A BIRTHDAY FULL OF WISE WORDS! [emoji173][emoji182]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…