Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua labda ni special sana anachukulia tunatoka sayari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila huyu kila siku yeye comment zake ni picha za mademu wa Jf sjui Jf ni ulimwengu gani?
Ahahahha achana nao mengine humu ni kuyakalia kimya tuShogaa acha tu nimekumbuka zamani watu walivyokuwa wananiita Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23]Mara mimi ndo wewe achaa tu
sawa mdada mbeautifulAsnate nashukuruuu sana kaka angu mhandsome
Nsukuma wa kisomali nasikiaYaan hauna picha yangu mpaka leo basi umbea haukufai,mi msukuma bana
Ninahisia kuwa watoto wa JF ni visu kweli kumbe mh hata chaupele wangu yupo bombaIla huyu kila siku yeye comment zake ni picha za mademu wa Jf sjui Jf ni ulimwengu gani?
Aisee kwanini ulikuwa hunipend chamdekoAsanteeee japo nilikuwa sikupendi ila leo yameishaaa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa kunisingizia..... Ila najua wajua kama sina hicho kitabiaAsante sana mpenzi wangu wa siku mojaa japo wewe mbahili kweli kweli
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji137] [emoji137] [emoji137]deka mama ukitambaa tunakuacha unaenda mwenyewe.. bora udeke ukiwa bado kachanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha haa aisee unapata taabu sana?
Kipenzi changu umepewa keki na Demiss kweli??happy birthday babe,ila mimi swali langu nitakuja kukuuliza chemba,nakupenda
Sina kabisaUna jambo
Nadai cheji yake, sina shida na laki moja ile mimi....Hahahahhaha hivi una nini lakini kweli ile laki moja bado unanidai wakat nimesema ya zamani yaisheee.