Happy Birthday Depal

Tatizo tunaomtaka tupo wengi sana, akitukubalia wote atakuwa ni kahaba, hivyo lazima achague mmoja na sie wengine tuendelee kusubiri kama tutapata ngekewa ya kuonja karamu ya bwana. Depal mimi sikuwish happy birthday
 
Bahati nzuri anajitambua na akili anayo
 
πŸ˜„πŸ˜„ nasubiri order ya kuagizwa kwenye ile supermarket yetu πŸ₯°πŸ₯°

Nimekuwa sasa, maringo nimeacha 🀣

Tupate mahelaa ya kuishi popote 😜😜
Nakusubiri unipeleke kulisha Simba majani πŸ₯°

Thank u beautful sis πŸ™
ILY πŸ˜πŸ’•πŸ’œπŸ’‹
 
Kama umekua jiandae, coming soon babe!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Embuuuuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lenie 🌚🌚 Nimemmiss huyu πŸ₯ΉπŸ’”
p
 
🀣🀣🀣 sijui imekuwaje mjomba Msanii amefufua uzi wake.

Ningewasemaaa kama yule
Kabla mchana haujafika
Hamna kuacha siku ipite bila crew kupost 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚
tutakesha wote usiku wa kuamkia tar. 26 January mpaka tukio litokee kama vile Mwaka Mpya..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…