Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
Tatizo tunaomtaka tupo wengi sana, akitukubalia wote atakuwa ni kahaba, hivyo lazima achague mmoja na sie wengine tuendelee kusubiri kama tutapata ngekewa ya kuonja karamu ya bwana. Depal mimi sikuwish happy birthday
 
Bahati nzuri anajitambua na akili anayo
 
Kwa hiyo ulijua kabisa dadako sina hata mia ya kukununulia kamvinyo[emoji485]sio??
Anyway unajua dadako nakupenda hivyo hivyo na maringo yako[emoji3590]
Nakutakia maisha yenye mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za kimaisha, zaidi sana upate maheraaa nikija A town tuishi[emoji12]

HBD mrembo wangu@Depal[emoji512][emoji1635]
😄😄 nasubiri order ya kuagizwa kwenye ile supermarket yetu 🥰🥰

Nimekuwa sasa, maringo nimeacha 🤣

Tupate mahelaa ya kuishi popote 😜😜
Nakusubiri unipeleke kulisha Simba majani 🥰

Thank u beautful sis 🙏
ILY 😍💕💜💋
 
Kama umekua jiandae, coming soon babe!!
 
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
😂😂😂😂😂😂😂 Embuuuuu
 
😂😂😂 Lenie 🌚🌚 Nimemmiss huyu 🥹💔
Mtoto ana jicho hilo,
Dimpoz Mashallah
Kapua kadogo utadhani havuti hewa
Rangi mnyoosho, haisikii tabu za ulimwengu
Sikio lenye kukubali hereni mpaka mabangili
Nywele fupi zinampendeza, zisizo kipilipili
Shingo nyoofu inayokubali cheni za kila aina

Mamaeee, Naomba namba aisee
p
 
Back
Top Bottom