Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

Ndugu wana JF leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli, anatimiza miaka miaka 61. Bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuungane wote kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wetu Dr. Magufuli.
IMG_20201029_080049.jpg
 
Ndugu wana JF leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli, anatimiza miaka miaka 61. Bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuungane wote kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wetu Dr. Magufuli.
View attachment 1615271
Happy Birthday Our Beloved President, May the Almighty Lord Bless you abundantly and guide your ways Amen
 
Happy Birthday President Magufuli...zawadi pekee tuliyokupatia wazalendo wa nchi hii unaenda kupokea hivi punde wakimaliza kufungua mabox ya kura za ndio kwa JPM.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa JPM baba lao.

Tuikalishe furaha yake leo leo kwa kumtangaza mshindi. [emoji4]
Kiboko ya upinzani.
IMG_20201029_073602.jpg
 
Back
Top Bottom