Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 578
Huyu akifa sizani kama familia yangu itasikitikaNdugu wana JF leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli, anatimiza miaka miaka 61. Bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuungane wote kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wetu Dr. Magufuli.
View attachment 1615271