Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kifo ni kwa kila mtu. Kila nafsi lazima ionje mauti, ni suala la muda kufika.Sawa yakitokea msije mkasema alikuwa mgonjwa/anasumbuliwa sijui na nn kabla hajawa raisi.
Muwage na kiasi kwenye maneno yenu