Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wizi wa wake za watu na hasa wake wa wasaidizi wao, ndiyo chanzo kikuu! Na hivyo mara nyingi huishia kutegewa MATEGO ya kila aina!Hivi kwa nini Marais wastaafu Wakristu wanakufa mapema sana kuliko wenzao Waislam?
Ni swali tu nothing personal...
Hao wengine dini inawaruhusu kumiliki zaidi ya mke mmoja! Na hivyo kupunguza hatari ya kuanguka kwenye hayo MATEGO.
Kwa maelezo zaidi huyu jamaa anaweza kufafanua zaidi. Mshana Jr.