Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

Ndugu wana JF leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli, anatimiza miaka miaka 61. Bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuungane wote kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wetu Dr. Magufuli.
View attachment 1615271
Na Mungu akuzidishie maisha marefu ili ututawale vizuri na kuinyoosha hii nchi kwa miaka mingine 15 ya ziada au milele.
 
Bila Shaka Magu Tano Tena huku tukiomba Aifanye Tanzania Kama Uchina kiuchumi.
 
Leo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli.

#Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
Hivi kwa nini Marais wastaafu Wakristu wanakufa mapema sana kuliko wenzao Waislam?

Ni swali tu nothing personal...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…