Wizi wa wake za watu na hasa wake wa wasaidizi wao, ndiyo chanzo kikuu! Na hivyo mara nyingi huishia kutegewa MATEGO ya kila aina!Hivi kwa nini Marais wastaafu Wakristu wanakufa mapema sana kuliko wenzao Waislam?
Ni swali tu nothing personal...
Maajabu ni pale unapotumia mtandao kwa VPN kumpa salamu za heri ya kuzaliwa mtu ambae ndo ame restrict mtandao.Leo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli.
#Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
picha za mwaka gani?zinahusu uchaguzi?Hapo kwenye birthday glass mmejaza damu za watu mnasheherekea , damu za mliowaua zinawakata kiu au vipi ?View attachment 1616773View attachment 1616774View attachment 1616775View attachment 1616778
Mugabe kumbe muslim mandela prince of england?Hivi kwa nini Marais wastaafu Wakristu wanakufa mapema sana kuliko wenzao Waislam?
Ni swali tu nothing personal...
Nimeongelea wa hapa Tanzania. Halafu hao wote uliowataja wameishi well into 90's. Utalinganisha na wa kwenu?Mugabe kumbe muslim mandela prince of england?
Mtu ambaye mikono imetapakaa damu za watu halafu lunatudanganya Mungu sijui nini.Soon atavuna alichopandaHBD muuaji unayejidai mtu wa Mungu!.
Hapo sasa,watu wengine bwana hahahahaha kamchukua Mzee mwinyi,akamsample na Mzee Mkapa na Nyerere then akadraw conclusion.Ushamba huooMugabe kumbe muslim mandela prince of england?
Hahhaaa kwa anavyonuka damu hatoboi 70Nalinganisha kabisa njoja magufuli Kama hatafika 90s tukiwa tunajionea
🤣🤣Huyu akifa sizani kama familia yangu itasikitika
🤣🤣Hahhaaa kwa anavyonuka damu hatoboi 70
Kifo ni mpango wa Mungu ni siri ya muumba na binadamu wake.Wizi wa wake za watu na hasa wake wa wasaidizi wao, ndiyo chanzo kikuu! Na hivyo mara nyingi huishia kutegewa MATEGO ya kila aina!
Hao wengine dini inawaruhusu kumiliki zaidi ya mke mmoja! Na hivyo kupunguza hatari ya kuanguka kwenye hayo MATEGO.
Kwa maelezo zaidi huyu jamaa anaweza kufafanua zaidi. Mshana Jr.
uongo.Samia anafanya mazoezi na hanywi pombe, mwanamama wa kizenji.
Yupo fiti sana yule mama, mazoezi yake ni kuogelea. Pale ikulu kuna swimming pool na anaitumia vyema.uongo.
Wacha weeeNa Mungu akuzidishie maisha marefu ili ututawale vizuri na kuinyoosha hii nchi kwa miaka mingine 15 ya ziada au milele.
Sawa yakitokea msije mkasema alikuwa mgonjwa/anasumbuliwa sijui na nn kabla hajawa raisi.Yupo fiti sana yule mama, mazoezi yake ni kuogelea. Pale ikulu kuna swimming pool na anaitumia vyema.