Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kifo ni kwa kila mtu. Kila nafsi lazima ionje mauti, ni suala la muda kufika.Sawa yakitokea msije mkasema alikuwa mgonjwa/anasumbuliwa sijui na nn kabla hajawa raisi.
Muwage na kiasi kwenye maneno yenu
Asante John, Asante Rais wetu kwa kuzaliwa leoLeo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli.
#Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
DuhKwanini hii siku leo isingekuwa kinyume na mlivyoitaja? Ila acha Mungu aitwe Mungu
yakitokeaSawa yakitokea msije mkasema alikuwa mgonjwa/anasumbuliwa sijui na nn kabla hajawa raisi.
Muwage na kiasi kwenye maneno yenu
Bado anaendelea kutawala eh?Na Mungu akuzidishie maisha marefu ili ututawale vizuri na kuinyoosha hii nchi kwa miaka mingine 15 ya ziada au milele.
17 Marchyakitokea
yepi?
Maono ya kuiba kura.?RiP legend ..hakika maono yako na kazi zako zitaenziwa milele
ndio mlivyopanga?17 March