Happy Birthday Hajar

Ahsante sana Makaveli10.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Allah akupe kila lenye kheri, akujaze imani, akuongoe katika njia ile iliyonyooka, akuepushe na husda, uwe mja mwema, akujaalie wewe na kizazi chako ndugu yangu, akuhifadhi pamoja na wale aliowahifadhi.. Tuwe wote wenye kuingia janna inshaallah!! Akifanyie wepesi katika mazito, akutimizie ndoto zako na malengo yako bibie.

Muhimu ibada ndugu yangu, siku zikisogea na ndivyo muda wa kuishi duniani unavyopukutika.
 
Ahsante sana Pacha wa mieee.

Sijui ndio kiherehere hiki changu Pacha sababu sio kwa mie kuwahi kiasi icho Pacha.

Tujivunie kwa kweli kwani Team June tuna mengi ya kipekee Pacha.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kabisaaa pacha ,siku nyingine upunguze kiherehere cha kuniwahi
[emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Yaani hata ajuza litakuwa halikufai sijui kikongwe!!!!

Hivyo vinono ndio navitaka, shaandaa tumbo mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…