Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah akupe kila lenye kheri, akujaze imani, akuongoe katika njia ile iliyonyooka, akuepushe na husda, uwe mja mwema, akujaalie wewe na kizazi chako ndugu yangu, akuhifadhi pamoja na wale aliowahifadhi.. Tuwe wote wenye kuingia janna inshaallah!! Akifanyie wepesi katika mazito, akutimizie ndoto zako na malengo yako bibie.Ahsante sana Makaveli10.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
na huyo anaemficha ole wakeAnafichwa kisawa sawa. Sa sijui ndio majukumu hayo mdogo wangu.
Maana hii yake ni zaidi ya kuadimika ujue?
nakupenda sana mdogo hujui tu yaani sikuoni kule nikajua umetibuliwa tyrNa mwez mtukufu bado unantishia.
hata kama humpendi mtu si kiivo
halafu mie mbona nakupenda dada hahahah
uko huru kuazia leo mekusubir hadi hamu imeisha mimDaah wee acha niadimike usijal
Tatizo Ukhty ndo ananfukuza online
Wew umenifungia nje wewee ngoja tu.uko huru kuazia leo mekusubir hadi hamu imeisha mim
hahaha hii lugha hii dahnakupenda sana mdogo hujui tu yaani sikuoni kule nikajua umetibuliwa tyr
hahaha hawez sema ukwel.
Kabisaaa pacha ,siku nyingine upunguze kiherehere cha kuniwahiAhsante sana Pacha wa mieee.
Sijui ndio kiherehere hiki changu Pacha sababu sio kwa mie kuwahi kiasi icho Pacha.
Tujivunie kwa kweli kwani Team June tuna mengi ya kipekee Pacha.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaa. Lol.
Kaka umepata kigugumizi ghafla lol. Okay ukikumbuka njoo uniambie kaka.
Nasubiria mieee.
Mwenye enzi akupe kila lililohitaji ya moyo wako yenye heri lakini, na umri mkuuuubwa mara 5 kuliko wangu.Ahsante sana dada. Ila dada sio kwa uchokozi huo jamaani lol. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ubarikiwe dada ake. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
nini ?!Hivi ushapimwa tezi dume baby?
hahaha ila watu mnafukunyua aroooOoh. Nimekuelewa sasa Kaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nishatoka, naenda kujiandaa kula futari.nini ?!
nikukute nyumbani hapo ..!!
Yaani hata ajuza litakuwa halikufai sijui kikongwe!!!!Ahsante sana Dada.
Hahahaaaa. Mara tano si ntakuwa zaidi ya Mbibi jamaani [emoji85] [emoji85] Mara mbili tu dada inatosha. Hahahaaaaa.
Uje dada ake sababu leo nimepika vinono mnooo. Karibu sana sana dada.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]