Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Tayari nimesha Maliza njoo ucheki tufanya kurekebisha basi jiran nakuaminia
Namsubiri@Hajar ukuje huku
nakuja jiraniTayari nimesha Maliza njoo ucheki tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahaaa. Lol.
Na kweli mpaka kuufikia uzee tumepitia vingi sana. Waje tu vijana tutawafundisha sababu wenyewe wanasema kizuri kula na nduguyo hivyo tutakula nao tu kwa kweli ili wafikie uzee kama wetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh.
mie mzima jirani nikaribishe basiSawa jirani
Mzima lakini?
loooh anaupenda uzee wallah
Najipanga kuanzia sasa sitaki lijirudie la mwaka huu mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakungojea mwakani tena Inshaallah
Leo hii lazima mnikome kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nacheka nikikumbuka ile siku duu tulikufanyia vituko
Kudeka ni sheria kwa kitinda mimba bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima sheria ifuatweAhsante sana Kitinda mimba wa kina Hajar mdogo wetu mpenda kudeka. Hahaaaaa.
Amiin Insha Allah. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Naona umeshusha Makinikia hapa, angalia vizuri yasije yakazuiwa Bandarini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza tumshukuru mungu kwa kutoa kibali kwa wazazi wako ukapatika wewe kipenzi cha watu
Pili tuishukuru jamii kwa malezi waliyo kupatia
Tatu ni kushukuru wewe kwa kuwa mmoja wa wanao wajali wengine kama unavyo jijali
Nne endelea kuwa na upendo kwa watu wote wakubwa kwa wadogo
Kumbukuka kila anaeleta chukizo kwako ni moja ya jaribu unalo takiwa kulipia
Mwisho nikitakie siku yako ya kuzaliwa na mungu akupe miaka mingi zaidi ili ujifunze mengi na wengine wajifunze kutoka kwako
Karibu jirani yangu wa nguvumie mzima jirani nikaribishe basi
Uzee dawa wewe hupendi dawaloooh anaupenda uzee wallah
Jirani hii tabia sijaipenda kila nikipita pale na matunda na mazagazaga sikukuti kabisa
nisamehe jirani pale nimehama mbona
Aaah jirani ndio we nilikutana na gari ya polisi imebeba vitu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wew acha tu jirani majanga
Haya hayapiti bandarini haya tunapakia kwenye chopa na kusepa nayo juu kwa juuNaona umeshusha Makinikia hapa, angalia vizuri yasije yakazuiwa Bandarini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya hayapiti bandarini haya tunapakia kwenye chopa na kusepa nayo juu kwa juu
Mie sijambo, Thanks to Allah.Ahsante sana Kaka ake. Mie sijambo najua na weye hujambo pia.
Uwe na asubuhi njema.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]