Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Hahahaaa. Lol.

Na kweli mpaka kuufikia uzee tumepitia vingi sana. Waje tu vijana tutawafundisha sababu wenyewe wanasema kizuri kula na nduguyo hivyo tutakula nao tu kwa kweli ili wafikie uzee kama wetu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

ukhuty
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakungojea mwakani tena Inshaallah
Najipanga kuanzia sasa sitaki lijirudie la mwaka huu mwakani
 
Kwanza tumshukuru mungu kwa kutoa kibali kwa wazazi wako ukapatika wewe kipenzi cha watu

Pili tuishukuru jamii kwa malezi waliyo kupatia

Tatu ni kushukuru wewe kwa kuwa mmoja wa wanao wajali wengine kama unavyo jijali

Nne endelea kuwa na upendo kwa watu wote wakubwa kwa wadogo

Kumbukuka kila anaeleta chukizo kwako ni moja ya jaribu unalo takiwa kulipia

Mwisho nikitakie siku yako ya kuzaliwa na mungu akupe miaka mingi zaidi ili ujifunze mengi na wengine wajifunze kutoka kwako
Naona umeshusha Makinikia hapa, angalia vizuri yasije yakazuiwa Bandarini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jirani hii tabia sijaipenda kila nikipita pale na matunda na mazagazaga sikukuti kabisa
nisamehe jirani pale nimehama mbona
Aaah jirani ndio we nilikutana na gari ya polisi imebeba vitu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wew acha tu jirani majanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom