Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Siku hizi kuna birthday hata za marehemu? hebu tuacheni uchuro kidogo, hizi tamaduni za wapi. Kwanza mimi naamini birthday ni kwa ajili ya watoto sio jitu kubwa zima unashangilia birthday badala ya kushangilia mafanikio. Ujinga tu.
 
Mshaanza kumtenga maapema hivi,aah acheni hizo basi
Pongezi ziko hapa Jf tangu alfajili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hivi Wasafwa mnakunywaga pombe gani maana kila Kitu mnaomba unyakyusani kwa Akina Spika wa Dunia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸŒŸ
 
Sukuma gang ni neno baya Sana halipaswi kutamkwa na mtu mwenye akili timamu. By the way mdhihaki Magufuli leo lakini nawe ni marehemu mtarajiwa. Kama uliumbwa pia utatwaliwa. Ni suala la muda tu
 
Ila chawa mnamkumbuka sana Magufuli kuliko hata hao sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ