Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Mfu nae ana pongezwa siku aliozaliwa sasa si muende mkajilaze ale chato pembeni yake mumpongeze vizuri 😂😂😂😂
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
 
Mbona chato kwenye maadhimisho mlikua hamfiki 100? Wanafiki tu hamna lolote
Chadema mmeshindwa kujenga ofisi ya makao makuu, tukiwauliza mnasema mnajenga chama mioyoni mwa wanachama wenu; kuna ubaya gani sisi kumuenzi shujaa wa taifa mioyoni mwetu? Kwa taarifa yako, hata wasiompenda kama wewe wanaweza kwenda Chato!
 
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
Wakristo na waislamu wote ni wale wale bado wanatukuza wafu haya mambo ya mapokeo yametukumba vibaya mno
 
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
Na ukiwabana sana utaskia yesu alifufuka au mtume alipaa 😂😂😂😂 stori za kufikirika kabisa
 
R.I.P mwamba JPM!
Umeondoka bali nyuma umeacha Jina!
Jina linaloendelea kuwatesa wale waliochukia mafanikio yako!
Jina lililoshindikana kuchafuliwa mbele ya macho ya Raia wako!
Asante kwa uzalendo wako!
Mbele yetu yu aja atakayefuata nyayo zako!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Linamtesa nani? Acheni kumpa umuhimu asiokua nao!!
 
Back
Top Bottom