Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
View attachment 2796513
Asanteni Watanzania kwa kunikumbuka. Najua mnapitia wakati mgumu Sana. Nawaomba Watanzania shikamaneni ili 2025 mkayashinde majizi na mafisadi. Wekeni maslahi mbele ya taifa. Lakini Watanzania nilijua msaidizi wangu alikuwa dhaifu na ndiyo maana sikuwa namshirikisha mambo mengi.
 
Attachments

  • Screenshot_2023_1029_122135.png
    Screenshot_2023_1029_122135.png
    147.8 KB · Views: 2
Hakuna kama wewe Comrade. Hakuna.

image-26-3-2021-at-5-11-pm-jpg.1735054

Ulale kwa Amani. Na ulale kwa Amani ukiwa unajua umeacha alama na mwanga unaotosha kufanya mapinduzi ya Kweli Tanzania na Afrika.

Happy Birthday Comrade.

Aluta Continua
 
Lady week nilikutana na Mkongomani mmoja anaishi Dar. Amezaliwa Marekani,ni mkazi wa Marekani.
Nikamuuliza yupo Tanzania toka lini? Akasema,tika 2016. Kwa hiyo ulimuona Magufuli.
Akasema ndio,akasema,"Magufuli stifled commerce( yaani,Magufuli alikuwa anaibana biashara,lazima nitafsiri,ama sivyo watu wengine kule kijijini kwangu watauliza'Mbane,unaandika lugha gani tena?"
Kwa hiyo nikamuuliza,_Oh,wewe ulikuwa humpendi Magufuli?"
Akasema,"Nchi ya Kongo(DRC),ingepata kiongozi kama Magufuli,ingeinuka,ingekuwa imara kabisa". Akasema,"Tazama sasa,kwa mfano mimi,nimekuja hapa Tanzania,nimeanzisha NGO,jambo ambalo siwezi kufanya Kongo kwa sababu hakuna amani "
 
Kama sio Leo basi ni kesho, Hayati Magufuli hatokuwa jina la mtu tu bali neno lenye maana kamili kwenye Kamusi. Niliwahi kusema Magufuli ndio atakuwa mgombea 2025 na atashinda hata kama hayupo, na yeyote atakayetaja jina la Magufuli kwenye kampeni zake atashinda Kwa kishindo iwe ni Upinzani au CCM. Happy Birthday Mr. President
Mwite mwanao magufuli alafu uone balaa lake
 
Muimbieni happy birthday shujaa wenu bana mbona mnamsahau mapema sana hivi?

===

View attachment 2796633

October 29, 1959: John Magufuli was born in Chato. He was a chemistry and maths teacher before joining politics. In 1995, he was elected Member of Parliament and later became a cabinet minister and President of Tanzania in 2015.

A leader with a steely resolve, the unyielding and outspoken Magufuli was loved and loathed in equal measure

He died in office from a heart illness on March 17, 2021

Tanzania Business Insight
Eti naye alijaribu kuiba kama maccm wenzie akaenda kuficha Hela chato,jamaa lilikuwa lishamba sana
 
Muimbieni happy birthday shujaa wenu bana mbona mnamsahau mapema sana hivi?

===

View attachment 2796633

October 29, 1959: John Magufuli was born in Chato. He was a chemistry and maths teacher before joining politics. In 1995, he was elected Member of Parliament and later became a cabinet minister and President of Tanzania in 2015.

A leader with a steely resolve, the unyielding and outspoken Magufuli was loved and loathed in equal measure

He died in office from a heart illness on March 17, 2021

Tanzania Business Insight
Who loathed Magufuli?
 
Back
Top Bottom