Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Rekebisha heading!!

Kwamba anaweza kujibu comment za wanaomwish happy birthday?
 
Mfu nae ana pongezwa siku aliozaliwa sasa si muende mkajilaze ale chato pembeni yake mumpongeze vizuri 😂😂😂😂
 
A life well lived. Happy birthday mtetezi wa wanyonge. Endelea kupumzika kwa amani mbinguni. Tunakumisi.
 
Akiwa Mbezi Pale Alisema Kama Huna Pesa Baki Na M*v* Yako
Unataka Serikali Ikuchimbie Choo!!!
 
Hapendwi Mtu Hapa Inapendwa Pesa
Kwenye Utawaala Wangu Mwenye PesA Anaweza Kufanywa Chochote

By Mzilankende
 
Kuna Watu Wameshindwa Kujenga Daraja La Kiyegea Morogoro
Sasa Wajiandae Nakwenda Huko Huko
Kamwere Alipigwa Mkwara Na Jiwe
Akaambiwa Usiondoke Mpaka Uhakikishe Gari Zinapita
 
Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
View attachment 2796513
Una maana "birthday" ama "deathday"!? Unawezaje kum-wish "happy birthday" mtu mfu asiyeweza kuhisi kitu chochote kile akiwa nje ya nafsi hai!? Pengine tutafakari pamoja nukuu ifuatayo kutoka katika kipande cha maandiko matakatifu kuhusu mtu ambaye amekwisha kufa.

MHUBIRI 9

5. Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa kabisa.

6. Upendo wao, chuki zao na tamaa zao, vyote vimetoweka pamoja nao, na wala hawatashiriki chochote hapa duniani.
 
Back
Top Bottom