Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
View attachment 2796513
Asanteni Watanzania kwa kunikumbuka. Najua mnapitia wakati mgumu Sana. Nawaomba Watanzania shikamaneni ili 2025 mkayashinde majizi na mafisadi. Wekeni maslahi mbele ya taifa. Lakini Watanzania nilijua msaidizi wangu alikuwa dhaifu na ndiyo maana sikuwa namshirikisha mambo mengi.
 

Attachments

  • Screenshot_2023_1029_122135.png
    147.8 KB · Views: 2
Hakuna kama wewe Comrade. Hakuna.



Ulale kwa Amani. Na ulale kwa Amani ukiwa unajua umeacha alama na mwanga unaotosha kufanya mapinduzi ya Kweli Tanzania na Afrika.

Happy Birthday Comrade.

Aluta Continua
 
Lady week nilikutana na Mkongomani mmoja anaishi Dar. Amezaliwa Marekani,ni mkazi wa Marekani.
Nikamuuliza yupo Tanzania toka lini? Akasema,tika 2016. Kwa hiyo ulimuona Magufuli.
Akasema ndio,akasema,"Magufuli stifled commerce( yaani,Magufuli alikuwa anaibana biashara,lazima nitafsiri,ama sivyo watu wengine kule kijijini kwangu watauliza'Mbane,unaandika lugha gani tena?"
Kwa hiyo nikamuuliza,_Oh,wewe ulikuwa humpendi Magufuli?"
Akasema,"Nchi ya Kongo(DRC),ingepata kiongozi kama Magufuli,ingeinuka,ingekuwa imara kabisa". Akasema,"Tazama sasa,kwa mfano mimi,nimekuja hapa Tanzania,nimeanzisha NGO,jambo ambalo siwezi kufanya Kongo kwa sababu hakuna amani "
 
Mwite mwanao magufuli alafu uone balaa lake
 
Eti naye alijaribu kuiba kama maccm wenzie akaenda kuficha Hela chato,jamaa lilikuwa lishamba sana
 
Who loathed Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…