Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

Mfu nae ana pongezwa siku aliozaliwa sasa si muende mkajilaze ale chato pembeni yake mumpongeze vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
 
Mbona chato kwenye maadhimisho mlikua hamfiki 100? Wanafiki tu hamna lolote
Chadema mmeshindwa kujenga ofisi ya makao makuu, tukiwauliza mnasema mnajenga chama mioyoni mwa wanachama wenu; kuna ubaya gani sisi kumuenzi shujaa wa taifa mioyoni mwetu? Kwa taarifa yako, hata wasiompenda kama wewe wanaweza kwenda Chato!
 
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
Wakristo na waislamu wote ni wale wale bado wanatukuza wafu haya mambo ya mapokeo yametukumba vibaya mno
 
Una ujumbe gani kwa wakristo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa mkombozi wao Yesu tarehe 25/12 kila mwaka ?

Au yeye sio mfu!
Na ukiwabana sana utaskia yesu alifufuka au mtume alipaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ stori za kufikirika kabisa
 
Linamtesa nani? Acheni kumpa umuhimu asiokua nao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…