Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Nimeacha kabisa..kreti 2 nilizokunywa leo nizakuaga uleviHeri ya siku ya kuzaliwa cha pombe. Mwaka mpya huu hebu uache pombe sasa[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeacha kabisa..kreti 2 nilizokunywa leo nizakuaga uleviHeri ya siku ya kuzaliwa cha pombe. Mwaka mpya huu hebu uache pombe sasa[emoji1787][emoji1787]
Hahaha mambo yenu huko darJomba hongera sanaaa,, tumezaliwa pamoja,, sema wengine tumeficha tarehe kuhofia kuogeshwa aiseeeeeh [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ya jana nimekaa tu ndani,, sijatoka nje,, nashkuru ilikuwa weekend,, ingekuwa siku ya kazi hakika ingekuwa soo,, ila kuna mpuuzi mmoja ananiwinda kishenzi,,, huyu najua kesho ataniharibia sikuHahaha mambo yenu huko dar
Asante mamiii...karibu juiceHappiest birthday Hazard, live long
Hahaha huko dar mnamambo mengi sana..nikiwa mkubwa nataka nije kuishi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ya jana nimekaa tu ndani,, sijatoka nje,, nashkuru ilikuwa weekend,, ingekuwa siku ya kazi hakika ingekuwa soo,, ila kuna mpuuzi mmoja ananiwinda kishenzi,,, huyu najua kesho ataniharibia siku
Mkuu uko mkoa gani kwani?Hahaha huko dar mnamambo mengi sana..nikiwa mkubwa nataka nije kuishi huko
Mgeta ndani ndan huku...Mkuu uko mkoa gani kwani?
Mgeta morogoro? Gvt employee?Mgeta ndani ndan huku...
Mkulima mkuu wakilimo cha jembe la mkonoMgeta morogoro? Gvt employee?
Thank you, ila ni juice hii hii non alcoholic ama ile yenye iko na alcohol[emoji3] [emoji3]Asante mamiii...karibu juice
Nini sasa hahahaAiseeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hii ya azam fruits hahhaThank you, ila ni juice hii hii non alcoholic ama ile yenye iko na alcohol[emoji3] [emoji3]
Haya enjoy your day mkuu, ila ulikunywa Jana eeh, so hope ulienjoy[emoji3]Hii hii ya azam fruits hahha
Yes juice box mbili[emoji41][emoji23][emoji23]Haya enjoy your day mkuu, ila ulikunywa Jana eeh, so hope ulienjoy[emoji3]
Yaani ulimaliza juices box 2?? Huo ulafi sasa hahaa, Maji meupe ndyo yapi hayo au juice ya miwa ?? Kalafi wewee kahazardYes juice box mbili[emoji41][emoji23][emoji23]
Na maji meupe chupa kubwa 2
kapeace upo so decent wewe ni mtoto ya mchungaji?Hii comment tu ushanisifia tayari basi nimevimba mbichwa huuuuo usifanye nikaanza kuringa!!!
Yangu ni March 10