Happy birthday Hazard fc

Happy birthday Hazard fc

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ya jana nimekaa tu ndani,, sijatoka nje,, nashkuru ilikuwa weekend,, ingekuwa siku ya kazi hakika ingekuwa soo,, ila kuna mpuuzi mmoja ananiwinda kishenzi,,, huyu najua kesho ataniharibia siku
Hahaha huko dar mnamambo mengi sana..nikiwa mkubwa nataka nije kuishi huko
 
Back
Top Bottom