Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.
Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).
Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Mkuu kwema[emoji120] [emoji120]Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.
Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).
Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Karibu sana ankoHaha ntakuja
Hahahaaaa!! Hebu ngoja nami niingie studio.
Sipati pichaaaZimefika aunt yake kwa mama mashughuli! 🙂
hahahahahahaha byuurful liroooooWeraaa kumbe na me ni byurful[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Alafu wewee!!!!Zimefika aunt yake kwa mama mashughuli! 🙂
Alafu wewee!!!!
Haya naona Viduku kakuficha Jumla..
Too bad!
Nipotelee Wapi?[emoji3] mambo mwana mpotevu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nipo mkuu,kwa nadra huwa nakutana na shemeji yangu espy. Kuzaliwa kwa anko HS kumeniibua mashambani ili nije niinjoike nae mjini.Kwema Sana Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeadimika mno, toka uwekwe mtu Kati siku zile na "Wabeijing" hawa ukaamua kutokomea kusipojulikana.
Good to see you though!
Thanks baby broWhen I count my blessings, I count you twice,
For you dear friend are sugar and spice.
Birthday wishes from my heart do flow
to sit by your side as the candles you blow,
Happy belated birthday big sisy
Nyingine ilikuwa liniHuyu anasherehekea mara mbili kwa mwaka ama
[emoji3][emoji3][emoji3]Hunishindi mimi kwajinsi nulivokumiss
Halafu waniita sister wataka kuninyima nini kwani?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] morning sisNyingine ilikuwa lini
Wochi auti not to zat eksitenti.[emoji3][emoji3][emoji3]
Nakuja Arusha..! Nitakucheki