Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.
Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).
Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Glory be to the Mighty God of Israel for my story. Ahsante sana mpendwa