Happy Birthday Heaven Sent

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi
Haha haha Yaani wewe hunishindi mimi siku hizi hata mipira ya MAN U napishana nayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wabeijing walikinukisha mnoo!!
 
Haha haha walitutengeneza mnoo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi akanisababishia niwe najihami tu, kila nikimuona wife yuko busy na simu najua Hapa najibiwa Mimi kunako jukwaaa [emoji119] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo si ndio hayo sasa!
 
Mkutano uliendeshwa kibabe hadi ukaathiri mwenendo wa familia. Yaani kila ukiona mwenzio katulia na simu una hisi ndo yaaale ya demi au Nalendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
demi sijui kapotelea wapi jamani!!!
 
HBD mama, sijachelewa sana....Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako[emoji8]
 
Haha haha walitutengeneza mnoo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi akanisababishia niwe najihami tu, kila nikimuona wife yuko busy na simu najua Hapa najibiwa Mimi kunako jukwaaa [emoji119] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Beijing hoyeeee!
 
Weeee kuchapiwa kusikie tu kwenye simulizi [emoji28] [emoji23]

Sikutaka apate sababu anaweza taka na yeye kwenda mpirani.

Japo nimeumiss mchepuko wangu Evelyn Salt.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umiss tu na uishie kuumiss tu hivyo hivyo. Ukiondoka ataenda mpirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…