Aaaah najitutumua tu kukubali matokea, kuishia kuumiss tu undhani ni rahisi hivyo? [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umiss tu na uishie kuumiss tu hivyo hivyo. Ukiondoka ataenda mpirani.
Weeee Shindwaaaa!Mchepuko nikuambie kitu?
[HASHTAG]#msimuwasikukuu[/HASHTAG]
Kwenye matokeo ya mipira napata kwa Numbisa. Kila goli la Man U likifungwa Numbisa anani-update.Haha haha Yaani wewe hunishindi mimi siku hizi hata mipira ya MAN U napishana nayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabeijing walikinukisha mnoo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi ni tatizo sanaHaha haha walitutengeneza mnoo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi akanisababishia niwe najihami tu, kila nikimuona wife yuko busy na simu najua Hapa najibiwa Mimi kunako jukwaaa [emoji119] [emoji125] [emoji125]
Hakika tulijifunza mengi jinsi ya kuishi na wenzetu[emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo si ndio hayo sasa!
Ni muda sana nimemuona kwa mara ya mwisho.Muhimu kuadimika kwake kuwe kwa kheri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
demi sijui kapotelea wapi jamani!!!
Aaaah mambo si ndio hayo jamani.
Ready to be parked.
Huwa sitanii mimi..! Nakileta mwenyewe
Sio rahisi ila ndio dawa. Jitahidi tu kaka yangu.Aaaah najitutumua tu kukubali matokea, kuishia kuumiss tu undhani ni rahisi hivyo? [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa!! Tunashukuru mnooo kama mlijifunza. Basi na mkawe na familia bora zaidi na zaidi.Hakika tulijifunza mengi jinsi ya kuishi na wenzetu[emoji120] [emoji120]
Ni muda sana nimemuona kwa mara ya mwisho.Muhimu kuadimika kwake kuwe kwa kheri
Mimi sio wa sport sport...[emoji3][emoji3][emoji3]Aaaah mambo si ndio hayo jamani.
Mkwe wa faida, ngoja nitafute mshono kabisa.
Shaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchepuko nikuambie kitu?
[HASHTAG]#msimuwasikukuu[/HASHTAG]
Kabisa mkwe, weka mbali kabisa na panya.Mimi sio wa sport sport...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaa...! Wewe unataka kesi na shangazi zako sasa..? [emoji3][emoji3]Kabisa mkwe, weka mbali kabisa na panya.
Penye faida ni muhimu kushukuru.Kiburi hakijengi,kujishusha ndio chanzo cha furaha na mafanikio yasiyo na kikomo.Hahahaaa!! Tunashukuru mnooo kama mlijifunza. Basi na mkawe na familia bora zaidi na zaidi.
Amen mammy, ShukraniHappy birthday Heaven M/Mungu akunyooshee mapito yako
Amen baba. ShukraniHBD mama, sijachelewa sana....Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako[emoji8]
HahahahahahaMkutano uliendeshwa kibabe hadi ukaathiri mwenendo wa familia. Yaani kila ukiona mwenzio katulia na simu una hisi ndo yaaale ya demi au Nalendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]