Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Haha haha walitutengeneza mnoo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi akanisababishia niwe najihami tu, kila nikimuona wife yuko busy na simu najua Hapa najibiwa Mimi kunako jukwaaa [emoji119] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi ni tatizo sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo si ndio hayo sasa!
Hakika tulijifunza mengi jinsi ya kuishi na wenzetu[emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
demi sijui kapotelea wapi jamani!!!
Ni muda sana nimemuona kwa mara ya mwisho.Muhimu kuadimika kwake kuwe kwa kheri
 
052b6d7e25d13d86deee62adee650593.jpg


Ready to be parked.

Huwa sitanii mimi..! Nakileta mwenyewe
Aaaah mambo si ndio hayo jamani.
Mkwe wa faida, ngoja nitafute mshono kabisa.
 
Back
Top Bottom