Happy Birthday Humphrey Polepole, Watanzania wanakukumbuka sana

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Happy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo hai.

Hilo ndilo linalouma zaidi. Maumivu yangu huwa makubwa ninapomuona mama yako akiendelea kuomba angalau apate taarifa, au hata mwili wako. Ni uchungu usioelezeka.

Leo, katika siku yako ya kuzaliwa, nakukumbuka kwa sala, kwa upendo, na kwa matumaini kuwa roho yako ipo mahali pa amani.

Ulipiga U-turn kwa ajili ya haki na kweli, na hilo litabaki kuwa urithi wako.

1764049047061.jpeg
 
Happy birthday HP kazi uliyoifanya ni kubwa hata kama watakupoteza umwtimiza wajibu wako kwa taifa. Hata wao watakufa tu hatukuja duniani kuishi milele bali kuifanya Dunia kuwa mahali salama pa kuishi.

Ili punje iote ni lazima ifukiwe ardhini huenda wamekufanyia hivyo ila naamini utaota na Tanzania mpya itazaliwa.
 
Happy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo hai.

Hilo ndilo linalouma zaidi. Maumivu yangu huwa makubwa ninapomuona mama yako akiendelea kuomba angalau apate taarifa, au hata mwili wako. Ni uchungu usioelezeka.

Leo, katika siku yako ya kuzaliwa, nakukumbuka kwa sala, kwa upendo, na kwa matumaini kuwa roho yako ipo mahali pa amani.

Ulipiga U-turn kwa ajili ya haki na kweli, na hilo litabaki kuwa urithi wako.

Huyu mwamba angekuwa hai nauhakika maandamano ya 29 dec yangevunja records za dunia na haya ya tarehe 9 yangekuwa maandamano ya watanzania wote sio genz tu huyu alikuwa kiongozi wa kweli aliyewaongelea watu wote wakubwa kwa wadogo
 
Inasikitisha sana, Mungu amsaidie kwa njia yoyote. Ila mpaka Leo sijawahi kuelewa kwa nini alirudi bongo.
 
Tunasubiria update ya Kanali Komandoo Augustine Polepole.
Polepole ukifanya calculation za risk utagundua kuwa hawez kupatikana. Zoez la kupatikana kwake litakuwa na risk nyingi zaidi zaidi kuliko kutopatikana kwan polisi wenyewe walisema hawajui alipo. Leo akipatikana akisema polisi ndio walimteka unadhan si atatatekwa tena?
 
Kaka yake Polepole kashaeleza yote kwamba kikwazo ni JAR-CAR-HIRE ila Polepole bado mzima.
 
Back
Top Bottom