NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Kwa iman hiyo mkuu omba sana. Kama unaamin hivyo omba 3 timesz dailyWashakanusha mambo mengi lakini yakaja kuwa wazi ,so na hilo lipo mbioni kuwa wazi.
Kwa iman hiyo mkuu omba sana. Kama unaamin hivyo omba 3 timesz dailyWashakanusha mambo mengi lakini yakaja kuwa wazi ,so na hilo lipo mbioni kuwa wazi.
Mkuu kwa alivyowa-expose watakua walishamuua kitambo... Maana wanajua wakimwacha atakimbilia nchi za mbali ambako atakua anatapika nyongo mara kumi, kwa design hiyo we unadhan wanaweza wakamwacha.Washakanusha mambo mengi lakini yakaja kuwa wazi ,so na hilo lipo mbioni kuwa wazi.
Mkuu kwa alivyowa-expose watakua walishamuua kitambo... Maana wanajua wakimwacha atakimbilia nchi za mbali ambako atakua anatapika nyongo mara kumi, kwa design hiyo we unadhan wanaweza wakamwacha.
Chura alimuita kiulozi kajaza waganga pale ikulu huo ni ushauri alipewa na hawara yakeInasikitisha sana, Mungu amsaidie kwa njia yoyote. Ila mpaka Leo sijawahi kuelewa kwa nini alirudi bongo.