ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Huyu mwamba angekuwa hai nauhakika maandamano ya 29 dec yangevunja records za dunia na haya ya tarehe 9 yangekuwa maandamano ya watanzania wote sio genz tu huyu alikuwa kiongozi wa kweli aliyewaongelea watu wote wakubwa kwa wadogoHappy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo hai.
Hilo ndilo linalouma zaidi. Maumivu yangu huwa makubwa ninapomuona mama yako akiendelea kuomba angalau apate taarifa, au hata mwili wako. Ni uchungu usioelezeka.
Leo, katika siku yako ya kuzaliwa, nakukumbuka kwa sala, kwa upendo, na kwa matumaini kuwa roho yako ipo mahali pa amani.
Ulipiga U-turn kwa ajili ya haki na kweli, na hilo litabaki kuwa urithi wako.
Polepole ukifanya calculation za risk utagundua kuwa hawez kupatikana. Zoez la kupatikana kwake litakuwa na risk nyingi zaidi zaidi kuliko kutopatikana kwan polisi wenyewe walisema hawajui alipo. Leo akipatikana akisema polisi ndio walimteka unadhan si atatatekwa tena?Tunasubiria update ya Kanali Komandoo Augustine Polepole.
Polepole ukifanya calculation za risk utagundua kuwa hawez kupatikana. Zoez la kupatikana kwake litakuwa na risk nyingi zaidi zaidi kuliko kutopatikana kwan polisi wenyewe walisema hawajui alipo. Leo akipatikana akisema polisi ndio walimteka unadhan si atatatekwa tena?
Sasa apataje alipo ili watu wakamtoe hiyo D9 kama kweli anajua anachokisema.Kaka yake Polepole kashaeleza yote kwamba kikwazo ni JAR-CAR-HIRE ila Polepole bado mzima.
Sasa apataje alipo ili watu wakamtoe hiyo D9 kama kweli anajua anachokisema.
Makanisa yamefungiwa kwa kaui hadharani na polepole kafinywa gizani. Hakun muwajibikaj wa moja kwa moja kwa sasa. Unajua maana ya polisi kukanusha?kama Makanisa ya ufufuo na uzima yamefunguliwa basi hata Polepole atatolewa tu.
Makanisa yamefungiwa kwa kaui hadharani na polepole kafinywa gizani. Hakun muwajibikaj wa moja kwa moja kwa sasa. Unajua maana ya polisi kukanusha?