Mkuu kwa alivyowa-expose watakua walishamuua kitambo... Maana wanajua wakimwacha atakimbilia nchi za mbali ambako atakua anatapika nyongo mara kumi, kwa design hiyo we unadhan wanaweza wakamwacha.