Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori za kupamba kuelekea 2025. Ila tumekoma kuchukua mgombea toka hiyo Kanda
C & P.
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza SHUGA kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA ilikua imeadimika.Yule Mfanyabiashara alimfuata BWA A INNO kwa sababu moja wakati ule alikua mtu anayeaminika na kukubalika sana kwa Hayati, kwa sababu nyingi nitazisema anather day.Basi yule Mfanyabiashara kwa nia ya kumshawishi BWANA INNO alienda na kiasi kikubwa cha hela katika mfumo wa USD ambayo thamani ilikua kama Bilioni 5 kasoro ilikua CASH, Ili kumshawishi BWANA INNO akubali aende akamuombee kibali cha kuingiza hiyo SHUGA kwa Hayati.Wakati wa kikao chao yule mfanyabiashara hakua maneno mengi, alimwambia "Mhe. BWANA INNO wewe ndiyo wetu wafanyabiashara ebu nipambanie nipate kibali cha kuleta SHUGA, mzigo wako huo hapo" akatoa hizo USD zenye thamani ya Tsh. Bil 5 kasoro.BWANA INNO bila kupepesa macho alimwambia yule mfanyabiashara "Mzee wangu najua una hela, unadhani hii Pesa unayonipa maanake mimi naenda kumuaminisha Mkuu (HAYATI) kwamba wewe uko sawa, wakati najua ukishaleta bidhaa hii adimu utawatesa Watanzania kwa sababu utauza kwa bei juu, Mimi kama Waziri kwanza sifanyi huo ujinga, na nitaenda kwa HAYATI kumwambia asikupe kabisa kibali kwa sababu wewe ni mtu wa rushwa"Hayo ndiyo yalikua majibu ya BWANA INNO kwa huyo Mfanyabiashara, alikataa rushwa ya Bilioni 5 kwa sababu ya uzalendo wake kwa Taifa lake na Serikali yake.Baada ya kukataa ile Bil 5, hapohapo analetewa Simu na msaidizi wake kuwa (HAYATTI) anampigia inabidi aongee naye ile anapokea simu kauli ya kwanza ya Hayati "INNO HONGERA SANA WEWE NI MZALENDO WAKWELI"BWANA INNO akamuuliza HAYATI hongera yanini akamwambia najua kinachoendelea muda huu, kumbe HAYATI ndiyo alisuka ule mchongo alikua anapima Uzalendo wa Mawaziri wake, hasa kupitia KIBUNDA na moja ya Mawaziri ambao walifaulu alikua BWANA INNO.Na moja ya maneno ambayo Hayati alishawahi kumwambia MAZA, katika Mawaziri wangu huyu KIJANA namuamini sana, ikitokea unataka kufanya kazi na vijana huyu usimsahau.Basi kuanzia 2018 hadi sasa BWANA INNO ndiye Waziri anayeongoza kuongoza Wizara nyingi zaidi kuliko wote walioko kwenye Baraza la sasa hivi la MAMA.Nimeandika hivi kwa sababu leo NI SIKU YA KUZALIWA YA BWANA INNO, shujaa aliyekwepa mtego wa kukataa Bilioni 5. HAPPY BIRTHDAY INNONB : WAPO MAWAZIRI AMBAO WALIUIGIA HUU MTEGO NA WALICHOMOLEWA,GHAFLA. View attachment 2982165
Tunywen biaNilikutana na Inno kwenye mazingira yake kipindi ni Waziri wa Ulinzi. Jamaa namuona kama cold, hachangamki kivile na mpole hilo halifichiki. Anakaa kama hajiamini au ana wasiwasi hata awe anaongea na mtu mdogo kiasi gani. Hana makuu wala hajitutumui kama humjui labda awepo mke wake ndipo unaona huyu ni mtu mkubwa. Kwenye mazingira yake walinzi, mke na shemeji yake Inno (wanaomjua wanamjua ni celebrity) wanajitutumua kuliko Inno mwenyewe.
How old is he?Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.
Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Wa mtaa au kata ?How old is he?
Amewahi kuwa Mtendaji Manzese
Mke wake ni celebrituy wa niniNilikutana na Inno kwenye mazingira yake kipindi ni Waziri wa Ulinzi. Jamaa namuona kama cold, hachangamki kivile na mpole hilo halifichiki. Anakaa kama hajiamini au ana wasiwasi hata awe anaongea na mtu mdogo kiasi gani. Hana makuu wala hajitutumui kama humjui labda awepo mke wake ndipo unaona huyu ni mtu mkubwa. Kwenye mazingira yake walinzi, mke na shemeji yake Inno (wanaomjua wanamjua ni celebrity) wanajitutumua kuliko Inno mwenyewe.
Hata mimi hili jambo limekuwa likinishangaza sana. Bashungwa akisema ana 35yrs hakuna wa kubisha.Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.
Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Sema huo mtego ulikuwa mrahisi kuushtukia. Enzi za Magu mtu ampelekee Waziri bilioni 5 cash lazima angeshtuka tu.Imekaa poaw sana na kweli njia nzuri ya kujua watendaji kazi wako
Alishashtukaa bhanaa,Sema huo mtego ulikuwa mrahisi kuushtukia. Enzi za Magu mtu ampelekee Waziri bilioni 5 cash lazima angeshtuka tu.
Sina uhakikaWa mtaa au kata ?
C & P.
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza SHUGA kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA ilikua imeadimika.Yule Mfanyabiashara alimfuata BWA A INNO kwa sababu moja wakati ule alikua mtu anayeaminika na kukubalika sana kwa Hayati, kwa sababu nyingi nitazisema anather day.Basi yule Mfanyabiashara kwa nia ya kumshawishi BWANA INNO alienda na kiasi kikubwa cha hela katika mfumo wa USD ambayo thamani ilikua kama Bilioni 5 kasoro ilikua CASH, Ili kumshawishi BWANA INNO akubali aende akamuombee kibali cha kuingiza hiyo SHUGA kwa Hayati.Wakati wa kikao chao yule mfanyabiashara hakua maneno mengi, alimwambia "Mhe. BWANA INNO wewe ndiyo wetu wafanyabiashara ebu nipambanie nipate kibali cha kuleta SHUGA, mzigo wako huo hapo" akatoa hizo USD zenye thamani ya Tsh. Bil 5 kasoro.BWANA INNO bila kupepesa macho alimwambia yule mfanyabiashara "Mzee wangu najua una hela, unadhani hii Pesa unayonipa maanake mimi naenda kumuaminisha Mkuu (HAYATI) kwamba wewe uko sawa, wakati najua ukishaleta bidhaa hii adimu utawatesa Watanzania kwa sababu utauza kwa bei juu, Mimi kama Waziri kwanza sifanyi huo ujinga, na nitaenda kwa HAYATI kumwambia asikupe kabisa kibali kwa sababu wewe ni mtu wa rushwa"Hayo ndiyo yalikua majibu ya BWANA INNO kwa huyo Mfanyabiashara, alikataa rushwa ya Bilioni 5 kwa sababu ya uzalendo wake kwa Taifa lake na Serikali yake.Baada ya kukataa ile Bil 5, hapohapo analetewa Simu na msaidizi wake kuwa (HAYATTI) anampigia inabidi aongee naye ile anapokea simu kauli ya kwanza ya Hayati "INNO HONGERA SANA WEWE NI MZALENDO WAKWELI"BWANA INNO akamuuliza HAYATI hongera yanini akamwambia najua kinachoendelea muda huu, kumbe HAYATI ndiyo alisuka ule mchongo alikua anapima Uzalendo wa Mawaziri wake, hasa kupitia KIBUNDA na moja ya Mawaziri ambao walifaulu alikua BWANA INNO.Na moja ya maneno ambayo Hayati alishawahi kumwambia MAZA, katika Mawaziri wangu huyu KIJANA namuamini sana, ikitokea unataka kufanya kazi na vijana huyu usimsahau.Basi kuanzia 2018 hadi sasa BWANA INNO ndiye Waziri anayeongoza kuongoza Wizara nyingi zaidi kuliko wote walioko kwenye Baraza la sasa hivi la MAMA.Nimeandika hivi kwa sababu leo NI SIKU YA KUZALIWA YA BWANA INNO, shujaa aliyekwepa mtego wa kukataa Bilioni 5. HAPPY BIRTHDAY INNONB : WAPO MAWAZIRI AMBAO WALIUIGIA HUU MTEGO NA WALICHOMOLEWA,GHAFLA. View attachment 2982165
Hata wewe Cocastic ungeshtuka tu.Alishashtukaa bhanaa,
Ni mdogo wake mke wake ndio celebrity. Kama si mdogo wake wana undugu wa karibu sana na hata wanafanana.Mke wake ni celebrituy wa nini
Vipi kama angezichukua? Pia angepigiwa cm azirudishe?Hakuna mtu Tanzania hii angeacha 5 bn kwq uzalendo, either uongo or alijua ni tego
Ukiacha mengine, ni mtu wa mazoezi sana, anafanya sana workout, inasemekana mazoezi ya mwili humrejesha mhusika 8-12 Years back kimeonekano.Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.
Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
among hidden young man, calm, powerful and feared individuals in Tanzanians politics 🐒
C & P.
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza SHUGA kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA ilikua imeadimika.Yule Mfanyabiashara alimfuata BWA A INNO kwa sababu moja wakati ule alikua mtu anayeaminika na kukubalika sana kwa Hayati, kwa sababu nyingi nitazisema anather day.Basi yule Mfanyabiashara kwa nia ya kumshawishi BWANA INNO alienda na kiasi kikubwa cha hela katika mfumo wa USD ambayo thamani ilikua kama Bilioni 5 kasoro ilikua CASH, Ili kumshawishi BWANA INNO akubali aende akamuombee kibali cha kuingiza hiyo SHUGA kwa Hayati.Wakati wa kikao chao yule mfanyabiashara hakua maneno mengi, alimwambia "Mhe. BWANA INNO wewe ndiyo wetu wafanyabiashara ebu nipambanie nipate kibali cha kuleta SHUGA, mzigo wako huo hapo" akatoa hizo USD zenye thamani ya Tsh. Bil 5 kasoro.BWANA INNO bila kupepesa macho alimwambia yule mfanyabiashara "Mzee wangu najua una hela, unadhani hii Pesa unayonipa maanake mimi naenda kumuaminisha Mkuu (HAYATI) kwamba wewe uko sawa, wakati najua ukishaleta bidhaa hii adimu utawatesa Watanzania kwa sababu utauza kwa bei juu, Mimi kama Waziri kwanza sifanyi huo ujinga, na nitaenda kwa HAYATI kumwambia asikupe kabisa kibali kwa sababu wewe ni mtu wa rushwa"Hayo ndiyo yalikua majibu ya BWANA INNO kwa huyo Mfanyabiashara, alikataa rushwa ya Bilioni 5 kwa sababu ya uzalendo wake kwa Taifa lake na Serikali yake.Baada ya kukataa ile Bil 5, hapohapo analetewa Simu na msaidizi wake kuwa (HAYATTI) anampigia inabidi aongee naye ile anapokea simu kauli ya kwanza ya Hayati "INNO HONGERA SANA WEWE NI MZALENDO WAKWELI"BWANA INNO akamuuliza HAYATI hongera yanini akamwambia najua kinachoendelea muda huu, kumbe HAYATI ndiyo alisuka ule mchongo alikua anapima Uzalendo wa Mawaziri wake, hasa kupitia KIBUNDA na moja ya Mawaziri ambao walifaulu alikua BWANA INNO.Na moja ya maneno ambayo Hayati alishawahi kumwambia MAZA, katika Mawaziri wangu huyu KIJANA namuamini sana, ikitokea unataka kufanya kazi na vijana huyu usimsahau.Basi kuanzia 2018 hadi sasa BWANA INNO ndiye Waziri anayeongoza kuongoza Wizara nyingi zaidi kuliko wote walioko kwenye Baraza la sasa hivi la MAMA.Nimeandika hivi kwa sababu leo NI SIKU YA KUZALIWA YA BWANA INNO, shujaa aliyekwepa mtego wa kukataa Bilioni 5. HAPPY BIRTHDAY INNONB : WAPO MAWAZIRI AMBAO WALIUIGIA HUU MTEGO NA WALICHOMOLEWA,GHAFLA. View attachment 2982165
Swali zuri, na je ni akina nani walifeli mtego wa aina hii katika awamu ya JPMVipi kama angezichukua? Pia angepigiwa cm azirudishe?
Hata jerry zile 300 mil. Alizozikataa ni kwa sababu waliokua hawataki ile shell iwepo pale ni watu wazito so lilikua linahatarisha cheo chake, lakini ingekua ile shell ipo kijiwe samli angelamba mzigo.Swali zuri, na je ni akina nani walifeli mtego wa aina hii katika awamu ya JPM
Vipi kama angezichukua? Pia angepigiwa cm azirudishe?