Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Umri mkubwa ni miaka mingapi?
 
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza SHUGA kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA ilikua imeadimika.Yule Mfanyabiashara alimfuata BWA A INNO kwa sababu moja wakati ule alikua mtu anayeaminika na kukubalika sana kwa Hayati, kwa sababu nyingi nitazisema anather day.

Basi yule Mfanyabiashara kwa nia ya kumshawishi BWANA INNO alienda na kiasi kikubwa cha hela katika mfumo wa USD ambayo thamani ilikua kama Bilioni 5 kasoro ilikua CASH, Ili kumshawishi BWANA INNO akubali aende akamuombee kibali cha kuingiza hiyo SHUGA kwa Hayati.

Wakati wa kikao chao yule mfanyabiashara hakua maneno mengi, alimwambia "Mhe. BWANA INNO wewe ndiyo wetu wafanyabiashara ebu nipambanie nipate kibali cha kuleta SHUGA, mzigo wako huo hapo" akatoa hizo USD zenye thamani ya Tsh. Bil 5 kasoro.

BWANA INNO bila kupepesa macho alimwambia yule mfanyabiashara "Mzee wangu najua una hela, unadhani hii Pesa unayonipa maanake mimi naenda kumuaminisha Mkuu (HAYATI) kwamba wewe uko sawa, wakati najua ukishaleta bidhaa hii adimu utawatesa Watanzania kwa sababu utauza kwa bei juu, Mimi kama Waziri kwanza sifanyi huo ujinga, na nitaenda kwa HAYATI kumwambia asikupe kabisa kibali kwa sababu wewe ni mtu wa rushwa.

"Hayo ndiyo yalikua majibu ya BWANA INNO kwa huyo Mfanyabiashara, alikataa rushwa ya Bilioni 5 kwa sababu ya uzalendo wake kwa Taifa lake na Serikali yake.Baada ya kukataa ile Bil 5, hapohapo analetewa Simu na msaidizi wake kuwa (HAYATTI) anampigia inabidi aongee naye ile anapokea simu kauli ya kwanza ya Hayati "INNO HONGERA SANA WEWE NI MZALENDO WAKWELI"BWANA INNO akamuuliza HAYATI hongera yanini akamwambia najua kinachoendelea muda huu, kumbe HAYATI ndiyo alisuka ule mchongo alikua anapima Uzalendo wa Mawaziri wake, hasa kupitia KIBUNDA na moja ya Mawaziri ambao walifaulu alikua BWANA INNO.

Na moja ya maneno ambayo Hayati alishawahi kumwambia MAZA, katika Mawaziri wangu huyu KIJANA namuamini sana, ikitokea unataka kufanya kazi na vijana huyu usimsahau.Basi kuanzia 2018 hadi sasa BWANA INNO ndiye Waziri anayeongoza kuongoza Wizara nyingi zaidi kuliko wote walioko kwenye Baraza la sasa hivi la MAMA.Nimeandika hivi kwa sababu leo NI SIKU YA KUZALIWA YA BWANA INNO, shujaa aliyekwepa mtego wa kukataa Bilioni 5.

HAPPY BIRTHDAY INNONB : WAPO MAWAZIRI AMBAO WALIUIGIA HUU MTEGO NA WALICHOMOLEWA,GHAFLA. View attachment 2982165
Chai
 
Only in Tanzania unasikia mawaziri wanasema wamekataa rushwa lakini walioleta rushwa hawajakamata na wala hao mawaziri hawakushirikisha takukuru. Mimi naona maigizo tu kama kweli ilibidi wawe behind bars kwa kutaka kutoa hongo. otherwise ni mastory ya kujipatia ujiko wa kisiasa.
 
Chai! Unajua 5B wewe? Aliibeba kwenye nini? Canter? Huyo mfabyabiasha basi alikua kiazi sana, kwa ulafi wa bwana yule angeenda moja kwa moja ingekuwa hlstoria! Lkn kwa kuwa ni chai ngoja nipate kigoda na vitumbua hapa kituoni
Pia, 5bn rushwa tu je angeteneza faida kwenye sukari ukitoa gharama za kuagiza/kuisafirisha? Drama kama za Jeri slaa
 
Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018
Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA ilikua imeadimika.

Yule Mfanyabiashara alimfuata Bwana Inno kwa sababu moja wakati ule alikuwa mtu anayeaminika na kukubalika sana kwa Hayati, kwa sababu nyingi nitazisema anather day.

Basi yule Mfanyabiashara kwa nia ya kumshawishi Bwana Inno alienda na kiasi kikubwa cha hela katika mfumo wa USD ambayo thamani ilikua kama Bilioni 5 kasoro ilikuwa cash, Ili kumshawishi Bwana Inno akubali aende akamuombee kibali cha kuingiza hiyo sukari kwa Hayati.

Wakati wa kikao chao yule mfanyabiashara hakua maneno mengi, alimwambia "Mhe. Bwana Inno wewe ndiyo wetu wafanyabiashara ebu nipambanie nipate kibali cha kuleta sukari, mzigo wako huo hapo" akatoa hizo USD zenye thamani ya Tsh. Bil 5 kasoro.

BWANA INNO bila kupepesa macho alimwambia yule mfanyabiashara "Mzee wangu najua una hela, unadhani hii Pesa unayonipa maanake mimi naenda kumuaminisha Mkuu (Hayati) kwamba wewe uko sawa, wakati najua ukishaleta bidhaa hii adimu utawatesa Watanzania kwa sababu utauza kwa bei juu, Mimi kama Waziri kwanza sifanyi huo ujinga, na nitaenda kwa Hayati kumwambia asikupe kabisa kibali kwa sababu wewe ni mtu wa rushwa.

"Hayo ndiyo yalikua majibu ya BWANA INNO kwa huyo Mfanyabiashara, alikataa rushwa ya Bilioni 5 kwa sababu ya uzalendo wake kwa Taifa lake na Serikali yake. Baada ya kukataa ile Bil 5, hapohapo analetewa Simu na msaidizi wake kuwa (Hayati) anampigia inabidi aongee naye ile anapokea simu kauli ya kwanza ya Hayati "INNO HONGERA SANA WEWE NI MZALENDO WAKWELI".

Bwana Inno akamuuliza Hayati hongera yanini akamwambia najua kinachoendelea muda huu, kumbe Hayati ndiyo alisuka ule mchongo alikua anapima Uzalendo wa Mawaziri wake, hasa kupitia KIBUNDA na moja ya Mawaziri ambao walifaulu alikua Bwana Inno.

Na moja ya maneno ambayo Hayati alishawahi kumwambia MAZA, katika Mawaziri wangu huyu KIJANA namuamini sana, ikitokea unataka kufanya kazi na vijana huyu usimsahau. Basi kuanzia 2018 hadi sasa BWANA INNO ndiye Waziri anayeongoza kuongoza Wizara nyingi zaidi kuliko wote walioko kwenye Baraza la sasa hivi la MAMA. Nimeandika hivi kwa sababu leo NI SIKU YA KUZALIWA YA BWANA INNO, shujaa aliyekwepa mtego wa kukataa Bilioni 5.

HAPPY BIRTHDAY INNONB: WAPO MAWAZIRI AMBAO WALIUIGIA HUU MTEGO NA WALICHOMOLEWA, GHAFLA.

View attachment 2982165
Vipi ile million 200 wizara ya ulinzi?

johnthebaptist
 
Hapa kuna mawili, kuwa ni mwaminifu kweli au Michael yalimcheza. Kuna yule mwingine alisema alikataa bilioni 1 kumbe ni maigizo tu tena ni mpigaji wa nyota tano.
 
Back
Top Bottom