Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

Stori za kupamba kuelekea 2025. Ila tumekoma kuchukua mgombea toka hiyo Kanda
 
Nilikutana na Inno kwenye mazingira yake kipindi ni Waziri wa Ulinzi. Jamaa namuona kama cold, hachangamki kivile na mpole hilo halifichiki. Anakaa kama hajiamini au ana wasiwasi hata awe anaongea na mtu mdogo kiasi gani. Hana makuu wala hajitutumui kama humjui labda awepo mke wake ndipo unaona huyu ni mtu mkubwa. Kwenye mazingira yake walinzi, mke na shemeji yake Inno (wanaomjua wanamjua ni celebrity) wanajitutumua kuliko Inno mwenyewe.
 
Tunywen bia
 
Mke wake ni celebrituy wa nini
 
Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Hata mimi hili jambo limekuwa likinishangaza sana. Bashungwa akisema ana 35yrs hakuna wa kubisha.
 


Hakuna mtu Tanzania hii angeacha 5 bn kwq uzalendo, either uongo or alijua ni tego
 
Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Ukiacha mengine, ni mtu wa mazoezi sana, anafanya sana workout, inasemekana mazoezi ya mwili humrejesha mhusika 8-12 Years back kimeonekano.

Tufanyeni mazoezi kwa afya, tule kwa afya, tusiwe wahanga wa pombe. We wil look younger and energetic!
 
among hidden young man, calm, powerful and feared individuals in Tanzanians politics 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…