Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Umri mkubwa ni miaka mingapi?
 
Chai
 
Only in Tanzania unasikia mawaziri wanasema wamekataa rushwa lakini walioleta rushwa hawajakamata na wala hao mawaziri hawakushirikisha takukuru. Mimi naona maigizo tu kama kweli ilibidi wawe behind bars kwa kutaka kutoa hongo. otherwise ni mastory ya kujipatia ujiko wa kisiasa.
 
Chai! Unajua 5B wewe? Aliibeba kwenye nini? Canter? Huyo mfabyabiasha basi alikua kiazi sana, kwa ulafi wa bwana yule angeenda moja kwa moja ingekuwa hlstoria! Lkn kwa kuwa ni chai ngoja nipate kigoda na vitumbua hapa kituoni
Pia, 5bn rushwa tu je angeteneza faida kwenye sukari ukitoa gharama za kuagiza/kuisafirisha? Drama kama za Jeri slaa
 
Vipi ile million 200 wizara ya ulinzi?

johnthebaptist
 
Hapa kuna mawili, kuwa ni mwaminifu kweli au Michael yalimcheza. Kuna yule mwingine alisema alikataa bilioni 1 kumbe ni maigizo tu tena ni mpigaji wa nyota tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…