Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

USD karibu ml 2 unazibeba mpaka ofisi ya Wazir bila ukaguz na ukaonana na Wazir live. Mbona hata kama ni wewe utajua tu huu ni mtego
 
Achilia mbali na Kiti chake ndani ya taifa, Inno kama Mbunge, kwenye jimbo lake amelitendea haki.
 
Ingemkuta Makamba hiyo,sijui ingekuaje
 
Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Tatizo nyie mnaonekana wazee sababu ya mipombe,bangi na shisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…