Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

happu birthday Jakaya mzee pamoja na udhaifu wako kama binadamu yoyote ila wewe uzna utu, uhuruma na ustahamilivu. kiukweli nikitembea Tanzania muda huu ndo natambua ulichofanya, by the way nimetoka familia maskini kweli baba yangu waka ukoo mzima wasingeweza hata kunilipia ada ya hostel enzi hizo so bila wewe degree saa hii ningeiskia kwenye bomba tu ila umenisomesha leo leo nami nimeongeza nasomesha wadogo vyuo bila hata kutegemea HESLB hayo ndo maendeleo, big up Mungu akupe afya njema na siha kama unayopenda kusema mwenyewe
 
Yaan huyu mzee Mungu ampe maisha Marefu Sana watoto wamaskini tulipona tukathaminika Ila Leo tunakula jeuri yetu. Happy Born Day kipenzi chetu
 
Daaah..! Kweli vyuma vimekaza..! Yaani mpaka kikwete leo anaonekana mtu mzuri..! Huyu ndo rais aliyetukanwa zaidi kuliko marais wote waliopita na hata huyu wa sasa...
 
Happy birthday mkulu mstaafu...
Mavi ya kale hayanuki!!!
 
Happy birthday JK
The only regret you could feel is leaving us with the petty dictator. He is no longer petty. Full fledged nowadays.
I for one, do not blame you. You could not have dreamed how things might turn out.

Again, happy birthday Jakaya Kikwete
 
Asante Kikwete kwa kuwanyoosha watetea mafisadi chadema
 
Sijui kama kaka mkubwa akiitaja birthday yake commentaries zinaweza fika hata 5 maana anachosha eti.

Hbd mwajiri wetu na ulietupandisha madaraja na increment na kutupa heshma stahiki wafanyakazi wa nchi hii.

Huyu tulie nae tunapambana nae sijui itakuwaje? Ila yeye anapaogopa dar maana mwaka ni kusema anakimbia mji baada ya wanaume hawakuindoka dar baada ya kusema ikifika July wawe wameondoka hii ni October.

Dead line yake inakaribia yetu imepita Mungu si rajabu bhana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…