OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tarehe kama ya leo Octoba 7,1951 alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana mzee Kikwete
.......lakini umetuachia donge watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mheshimiwa kwa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa (07/10. Mungu wangu wa mbinguni naakupe maisha marefu yenye amani na furahaView attachment 603703
Tarehe kama ya leo Octoba 7,1951 alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana mzee Kikwete
.......lakini umetuachia donge watanzania
Yaan huyu mzee Mungu ampe maisha Marefu Sana watoto wamaskini tulipona tukathaminika Ila Leo tunakula jeuri yetu. Happy Born Day kipenzi chetuhappu birthday Jakaya mzee pamoja na udhaifu wako kama binadamu yoyote ila wewe uzna utu, uhuruma na ustahamilivu. kiukweli nikitembea Tanzania muda huu ndo natambua ulichofanya, by the way nimetoka familia maskini kweli baba yangu waka ukoo mzima wasingeweza hata kunilipia ada ya hostel enzi hizo so bila wewe degree saa hii ningeiskia kwenye bomba tu ila umenisomesha leo leo nami nimeongeza nasomesha wadogo vyuo bila hata kutegemea HESLB hayo ndo maendeleo, big up Mungu akupe afya njema na siha kama unayopenda kusema mwenyewe
Hongera rais mstaafu bado tunakutegemea kwa ushauri hasa katika wakati huu tulionao.View attachment 603703
Tarehe kama ya leo Octoba 7,1951 alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana mzee Kikwete
.......lakini umetuachia donge watanzania