Nkonzi JR
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 324
- 195
Mkuu kwanza naomba ututake ladhi kutuita watanzania wapumbavu,JK kafanya mazuri kama yafutayoTatizo la watanzania wengi ni wapumbavu na hawajitambui mimi tangu nizaliwe hakuna rais aliyeleta maendeleo nchi hii wote walifanya mazuri baadhi mabaya ndiyo mengi zaidi huyo unayemsifia leo kaacha watanzania wanahangaika na MAJI ELIMU MIUNDOMBINU HOSPITALI kaacha watoto wanakaa chini watu wanahangaika na jembe la mkono kuna sehemu hata gari haliwezi kupita kaacha yale yale walioyaacha wenzake hebu nipe sababu za kumuita rais bora ili hali kaboronga vibaya sana
-chuo cha UDOM
-miuondombinu
-afya
-michezo
Na kaka ukumbuke Tanzania ni kubwa sana sana alivyoikuta JK na alivyoicha ni vitu viwili tofauti chukua tawimu za maendeleo alipoondoka BENJAMINI 2005 na alivyo ondoka JK 2015,kaka usitumie mihemuko ya mahaba na watu bila kuangalia uhalisia kaka