Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Tatizo la watanzania wengi ni wapumbavu na hawajitambui mimi tangu nizaliwe hakuna rais aliyeleta maendeleo nchi hii wote walifanya mazuri baadhi mabaya ndiyo mengi zaidi huyo unayemsifia leo kaacha watanzania wanahangaika na MAJI ELIMU MIUNDOMBINU HOSPITALI kaacha watoto wanakaa chini watu wanahangaika na jembe la mkono kuna sehemu hata gari haliwezi kupita kaacha yale yale walioyaacha wenzake hebu nipe sababu za kumuita rais bora ili hali kaboronga vibaya sana
Mkuu kwanza naomba ututake ladhi kutuita watanzania wapumbavu,JK kafanya mazuri kama yafutayo
-chuo cha UDOM
-miuondombinu
-afya
-michezo
Na kaka ukumbuke Tanzania ni kubwa sana sana alivyoikuta JK na alivyoicha ni vitu viwili tofauti chukua tawimu za maendeleo alipoondoka BENJAMINI 2005 na alivyo ondoka JK 2015,kaka usitumie mihemuko ya mahaba na watu bila kuangalia uhalisia kaka
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????
Unatka kutuaminisha kua alisemwa vby kama sizonje ? A.k.A kairuki
 
Hakuna raisi asiyekuwa na strength na weakness. Haitusaidii Sasa hivi kuacha kujadili strength za JPM. Ana mengi mazuri.
Pole inawezekana ikawa haikusadii we we hapo ila kunawatu inawasaidia pia kaka kakojoe ulale usiku saizi
 
Sawa mtoa mada, lakini uandishi wako unasikitisha sana, na unasema una degree.
 
Ndio best president aliyewai kutokea tangu Tanzania kupata Uhuru,kama hakutendewa sawa wakati Yuko madarakan haizuii kwa sasa kufisiwa na kupendwa
Mmezidi kuwa VINYONGA ..... mlidai oooh Rais dhaifu mara kila siku nchi za nje ...leo yamekuwa hayo .... kulikoni?
 
Sawa mtoa mada, lakini uandishi wako unasikitisha sana, na unasema una degree.
Ok ww endelea kuangalia uo uandishi mm sio mtunga insha bro lkn umeelewa nyie wazee ndio mnaotumbua umu ndaniiii ww kalale saiz usisahau doz yako ya kisukari
 
ivi katiba ikipitisha swala la mgombea binafsi c anaweza rudi
 
Hahaha mkuu mm sijafika huko mkuuu nimemiss sana uyu rais bila yeye Mimi nisingepata degree na afya zisingefika kwetu ileje miss u Mr jk baba
Kama mwenye degree wawaza hivi ..... wale wa ELIMU YA MSINGI watawazaje?
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????
.....Wewe ndiye mgumu wa kuelewa, unaelewa maana ya comparison? Ukichukua best students from ten schools ukawa test je watakuwa sawa?
 
Pole inawezekana ikawa haikusadii we we hapo ila kunawatu inawasaidia pia kaka kakojoe ulale usiku saizi
Kikiweli huyu President namshukuru sana pia, bila yeye nisingepata master's yangu
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????

Dah....Katika marais wote waliopita hakuna ambaye alikejeliwa kama JK...yaani we acha tu...walimwita majina yote sijui mdini, sijui dhaifu, sijui anapendelea watoto wake, sijui anawakumbatia mafisadi na mambo mengine kem kem ambayo siwezi kuyaweka hapa...Wengine wakaenda mbali zaidi kuwa tunahitaji rais dikteta kwani aliyepo ni mpole mno na dhaifu...Yeye alikuwa mvumilivu, mpenda watu na siku ya siku ikafika akasema :sasa nawaletea rais mkali kidogo...akacheka...na kweli amekuja jRais asiyetaka utani...wote tumenyoooooooooooooooooooka...kilichopo sasa ni kelele zisizo na mpango wala mfumo...mtu anakurupuka tu...uchumi unashuka, natafutwa, nawindwa, sijui nafuatiliwana maninja, hee huyu naye mklai mno, sijui nini na nini, siui hela mfukoni haipo...Kimsingi sisi Watanzania hatuna jema hata kidogo...Huyu pia anatufaa, akiondoka wako watakaomkumbuka tena basi kwa mamilioni...Ahaaaaaa acha tunyooshwe bwana, tulizidi mno lelemama na kubebana...Lazima tunyooke...heshima imerudi mitaani...
 
Hahaha mkuu mm sijafika huko mkuuu nimemiss sana uyu rais bila yeye Mimi nisingepata degree na afya zisingefika kwetu ileje miss u Mr jk baba
Ndiyo hivyo mkuu thamani ya kitu hujulikana pale unapokuwa haunacho au umekipoteza!
 
-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president
Kisa vyuma vimekaza, mara Oooh Vasco da Gama, mara legelege, mara anachekacheka tu, mara ooh kila kiwanda ana hisa, mara mwanawe anauza unga kakamatwa china!!., Magufuli safi sana kaza zaidi. Hakuna mishahara mikubwa bila ufanisi, no posho za vikao, semina, usalama wa ajira yako utokane tu na umuhimu wako kazini watanyooka tu kama tuliopo private sector
 
Magufuli kaza kamba mzee mwenzangu watanzania wengi wao bado ni WAPUMBAVU SANA kaza kabisa mpaka wajitambue wanahubiri maendeleo ili hali tangu wazaliwe hawajawahi kuyaona
 
Wapiga dili fanyeni kazi za halali acheni dezo awamu hii haitaki short cut, nyamafuuu
 
Back
Top Bottom