Nyie mnaomsifia jk ndo wanufaika na watumishi hewa, vyeti feki, maeskrow, maepa, mafulo mita, makontena, makinikia, na eya Tanzania nk[/QUO
Hahaha, kubali kukosolewa ili ujifunze, ndio uungwana wenyewe.Ok ww endelea kuangalia uo uandishi mm sio mtunga insha bro lkn umeelewa nyie wazee ndio mnaotumbua umu ndaniiii ww kalale saiz usisahau doz yako ya kisukari
Tatizo la watanzania wengi ni wapumbavu na hawajitambui mimi tangu nizaliwe hakuna rais aliyeleta maendeleo nchi hii wote walifanya mazuri baadhi mabaya ndiyo mengi zaidi huyo unayemsifia leo kaacha watanzania wanahangaika na MAJI ELIMU MIUNDOMBINU HOSPITALI kaacha watoto wanakaa chini watu wanahangaika na jembe la mkono kuna sehemu hata gari haliwezi kupita kaacha yale yale walioyaacha wenzake hebu nipe sababu za kumuita rais bora ili hali kaboronga vibaya sana
Enzi za orchestra makasiMACHOZI YANATOKA NIKISIKIA HIYO BACKGROUND MUSIC: SALAMU KWA WAGONJWA RTD
Rais asiye na kiburi, kujiona, dharau , kebehi na faraja kwa wagonjwa........Rais kama huyu never Jk will be there to visit you in your residence your excellence. Allah akupe afya tele.....ziara yake hospitali
Hahaha umetisha sunbae
Saeng-il chuk-ha-hamnida
Saeng-il chuk-ha-hamnida
Sa-rang-ha-neun (jakaya kikwete) sshii
saeng-il chuk-ha hamnida