Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Wapiga dili acheni short cut hii ni awamu ya uchapa kazi,nyamafuu
 
STOP CHILDISH.... MLIMTUKANA,MKADHIHAKI LEO HII MWAKUMBUKA KWA LIPI
 
Kweli kabisa ni kipenzi cha Watanzani. Alitukosea ktk swala la katiba tu
 
Nyie mnaomsifia jk ndo wanufaika na watumishi hewa, vyeti feki, maeskrow, maepa, mafulo mita, makontena, makinikia, na eya Tanzania nk
 
Mimi na familia yangu maombi yetu kwa MUNGU upate maisha marefu.
 
KATI YA HAYA BASHITE AMENIFAIKA NA LIPI?
Nyie mnaomsifia jk ndo wanufaika na watumishi hewa, vyeti feki, maeskrow, maepa, mafulo mita, makontena, makinikia, na eya Tanzania nk[/QUO
 
Happy Birthday JK.Watanzania Tunakukumbuka kwa Mengi Mazuri.Mabaya kila mtu ana yake.
 
Hata mimi nampongeza ktk siku yake hii ya kuzaliwa, Mungu azidi kumpa maisha marefu
 
Ok ww endelea kuangalia uo uandishi mm sio mtunga insha bro lkn umeelewa nyie wazee ndio mnaotumbua umu ndaniiii ww kalale saiz usisahau doz yako ya kisukari
Hahaha, kubali kukosolewa ili ujifunze, ndio uungwana wenyewe.
 
Tatizo la watanzania wengi ni wapumbavu na hawajitambui mimi tangu nizaliwe hakuna rais aliyeleta maendeleo nchi hii wote walifanya mazuri baadhi mabaya ndiyo mengi zaidi huyo unayemsifia leo kaacha watanzania wanahangaika na MAJI ELIMU MIUNDOMBINU HOSPITALI kaacha watoto wanakaa chini watu wanahangaika na jembe la mkono kuna sehemu hata gari haliwezi kupita kaacha yale yale walioyaacha wenzake hebu nipe sababu za kumuita rais bora ili hali kaboronga vibaya sana

Aisee!!..unajua miradi mingapi ya maji mipya ilitekelezwa katika kipindi chake including national projects ..unajua alifanya nini kwenye water resources management na mikataba yake? Vip Kuhusu transboundaries? Unaelewa chochote alichofanya? ..eti unasema nini kuhusu elimu? Hajafanya chohote? Aisee!!.. unatoka kata gani wewe? Ushawahi fika dodoma? Miundombinu? Sijui hapa unamaanisha nini hajafanya kwenye eneo hili..barabara, madaraja, mwendokasi au airports!..eti nini hospitali? Subiri uumwe moyo halafu uone ndugu zako watakupeleka wapi kama sio JK heart institute! Ushafika pale kuona kulivyo na vifaa?.. wtf are you talking about kid?..
 
Rais kikwete mtu wa watu sipendi nikusifie baada ya kufa kwako: Naomba nioneshe shukran zangu nyingi walau kwa ku share video zako wakati wa utawala wako, mpendwa wa watu una huruma, mpole, busara, wala hana makirikiri hapo na mabunduki. Anawafariji anaowaongoza, wazandiki fulani fulani hasa wa chama fulani ndio walikufanya usipate raha katika utawala wako kwa kupiga propaganda na kukuchafua lakini historia imekuandika. You were the best ever Mkwele
 
MACHOZI YANATOKA NIKISIKIA HIYO BACKGROUND MUSIC: SALAMU KWA WAGONJWA RTD
Rais asiye na kiburi, kujiona, dharau , kebehi na faraja kwa wagonjwa........Rais kama huyu never Jk will be there to visit you in your residence your excellence. Allah akupe afya tele.....ziara yake hospitali
 
MACHOZI YANATOKA NIKISIKIA HIYO BACKGROUND MUSIC: SALAMU KWA WAGONJWA RTD
Rais asiye na kiburi, kujiona, dharau , kebehi na faraja kwa wagonjwa........Rais kama huyu never Jk will be there to visit you in your residence your excellence. Allah akupe afya tele.....ziara yake hospitali

Enzi za orchestra makasi
 
Formal-Happy-Birthday-in-Korean.jpg

Saeng-il chuk-ha-hamnida
Saeng-il chuk-ha-hamnida
Sa-rang-ha-neun (jakaya kikwete) sshii
saeng-il chuk-ha hamnida
Hahaha umetisha sunbae
 
Back
Top Bottom