darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Nanyi mjifunze kuona mazuri ya mtu si mpk aondoke ndo muanze kusema! NB mi sio matagaTeam MATAGA? Jifunze kuwapenda wanaokukosoa kuliko wale team praise n worship..hao wanakuingiza chaka
Wa Ufipa wamesahau hilo, nakumbuka sana Dr. Mvungi alivyofanyiwa, inaniuma hadi leo, eti JK yeye alikuwa malaika. Ni kweli mzee wetu alifanya mengi mazuri, tena kwa namna ya kipekee lazima tumshuku.Dr ulimboka, daudi mwangosi, dr Mvungi, Mabomu ya olasiti arusha, juma Akukweti, just to mention a few hayo yote yalikua initiated na watu wasiojulikana hapo number 20
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Sisi tunaangalia mazuri ya mtu akiwa hai, akiwa madarakani, that's how we should roll. Lakini mkuu tulitaka dikteta, refer speeches za Mnyika na Dr. Mihogo.Sifa huja mwishoni sio mwanzoni
Mshana JR
Wakiorodhesha kama kuna ambayo itakuwa active kumsaidia mwananchi moja kwa moja haitazidi 10 ila hiyo ya Mr White yote bado ina function tena kwa kiwango cha juu sana tena sana!Kwenye hicho kipengele Cha kutukana huenda hata muweka mada alifanya hivyo pia!
We subiri hata huyu papa mobimba akiondoka utawaona wanaorodhesha mambo! Ishakuwa kawaida.
Mkuu nakubaliana na wewe,huyu Wa sasa hana connection yoyote.Hata funding ya TAZARA Flyover na Ubungo Interchange, katafuta Mzee wa Msoga!!
Wafuasi wa Magu hawataki kabisa kulisikia hili la TAZARA Flyover na Ubungo Interchange kwa sababu wanadanganyana Magu ndo kajenga flyovers wakat yeye ni NYAPARA tu!!
Ongeza na uboreshaji wa barabara za Jiji la Dar es salaam under Dar es salaam Urban Transport Improvement Project!
Hatuwezi kufanana falsafa na mawazo na kila kitu hupimwa Kwenye mizania ya haki...Sisi tunaangalia mazuri ya mtu akiwa hai, akiwa madarakani, that's how we should roll. Lakini mkuu tulitaka dikteta, refer speeches za Mnyika na Dr. Mihogo.
This was his darkest sideDr ulimboka, daudi mwangosi, dr Mvungi, Mabomu ya olasiti arusha, juma Akukweti, just to mention a few hayo yote yalikua initiated na watu wasiojulikana hapo number 20
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Sifa huja mwishoni sio mwanzoni
hiyo nambari 23 barabara nyingi mbona zina bonyea bonyea this due to whats?
Hakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.
Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
Happy Birthday Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete Waukae... View attachment 1593592
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Kuufungia huu wimbo ni jambo la ajabu kuwahi kutokea....Nikki anasema Polisi walimuuliza " Kwanini unamsifia Rais aliyepita wakati kuna Rais mwingine? Nikki akawajibu "Ukimaliza Kazi ndo unavalishwa taji...mnajuaje kama huyu akimaliza sitamsifia?" Nchi ngumu sana hii unapangiwa mpaka wa kumsifia.