Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

Ngumu sana kumridhisha kila mtu kwa nchi yenye watu wanafki kama Tanzania
 
MKUU MSHANAR UMEGEUKA KUWA MPIGA SPANA SASA!!JIWE KAFANYA NINI?KAMA MIRADI YOTE NI YA JK??
Madaraka ni sawa mnyonyoro alipoishia mwenzako wewe unaendeleza ..hakuwa wa kwanza wala wewe sio wa mwisho..
 
Alituaidi maisha bora kwa kila mtanzania watu tukawa tunamdis ooooh ooooh katoka ndio tunakumbuka kumbe yale ndio yalikuwa maisha bora kwa kila mtanzania tulikula bata🍾🍷 sana kwa huyu mjuba

Popote alipo cheers daddy 🍻we miss that bata alot 😳
 
Kipindi nipo mafinga jkt (841 kj) mwaka fulani (between 2011-2016) Kuna mwanajeshi mmoja alikuwa daktar katika zahanati ya pale kikosini alisema "HII NCHI INAHITAJI DIKTETA"

Kudadadek ona hali ilivyo Sasa[emoji23]
 
Kipindi nipo mafinga jkt (841 kj) mwaka fulani (between 2011-2016) Kuna mwanajeshi mmoja alikuwa daktar katika zahanati ya pale kikosini alisema "HII NCHI INAHITAJI DIKTETA"

Kudadadek ona hali ilivyo Sasa[emoji23]
Tulishampata...! Mitano inamtosha
 
Halafu hakuwahi kujigamba. Mungu ambariki sana sana
 
Bar mwisho saa 6 sikuizi hatukeshi kabisa
 
Umesahau


Misamaha kwa wafungwa


Gerezani tulikula mlo mzuri
 
Safi kumbe hakuwa dhaif eee
Wala na alisimamia rasilimali zetu mungu zaid kumpa maisha marefu, na awasamehe waliomdhania dhaifu ..
 
Tusubirie Praise & Worship, ije ikuambie madaraja na barabara zote kajenga mtu fudenge! 😀 wanajua kujitoa ufahamu wale!


Everyday is Saturday..............................😎
Yaani mpaka wanaboa unakuta jitu baba zima linajitoa ufahamu mishipa inalisimama kama limebanwa na homa kali kusifia2
 
Daah, nimemkumbuka Jamaa yangu mmoja alisema hivi"Tanzania tulipofikia tunahitaji rais dikteta "
 
JK alikuwa anajua nini maana ya maisha. Kwenye suala la ajira (kwa walimu & madaktari) alikuwa siyo mchoyo kabisa.

Nitamkumbuka mpaka keshokutwa.
Ila jamani tuseme yote kwa idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu kwa sasa kusema wataajiliwa wote na serikali ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…