akukweti alipata ajali ya ndege kwa kujaza mizigo kuliko uwezo wa ndegeDr ulimboka, daudi mwangosi, dr Mvungi, Mabomu ya olasiti arusha, juma Akukweti, just to mention a few hayo yote yalikua initiated na watu wasiojulikana hapo number 20
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Allah ampe umri mrefu wenye kherHappy Birthday Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete Waukae... View attachment 1593592
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Asante kaka namba ishirini nimeeilewa sana[emoji23]Safi kumbe hakuwa dhaif eee
Wala na alisimamia rasilimali zetu mungu zaid kumpa maisha marefu, na awasamehe waliomdhania dhaifu ..
Hongera CCM kwa kufanya yote haya mazuri. CCM mbele kwa mbele tarehe 28 Oktoba. Kura zetu tena kwa CCMLeo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya:
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. Julius Nyerere International Airport terminal III.
8. Dar es salaam Rapid Transport-DART (Mwendo kasi).
9. Sekondari za Kata nchi nzima, kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria.
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa Hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha.
17. Dangote Cement industry
18. Bomba la gesi Mtwara to Dar
19. Hospitali ya Moyo
20. Hakuna watu wasiojulikana.
21. Hakuna mfanyabiashara kufilisiwa.
22. MOI
23. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami, zaidi ya km 14000 zilijengwa nchi nzima.
24. Ujenzi wa Mkondo wa taifa wa mawasiliano, leo tunajimwambafai na internet.
25.Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi Julai.
26. Ajira kila mwaka.
27. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
28. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu.
29. Demokrasia iliyopevuka, na alisema kuwa, hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, siyo kwa kipigo cha Polisi.
30. Atleast tulikula-kula bata, yaani enzi hizo laki si pesa!! [emoji122][emoji120]
Umenikumbusha Mnyika aliposema JK ni rais dhaifu sana.Hakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.
Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
Lisu atakwambia yote haya ni maendeleo ya vituLeo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya:
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. Julius Nyerere International Airport terminal III.
8. Dar es salaam Rapid Transport-DART (Mwendo kasi).
9. Sekondari za Kata nchi nzima, kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria.
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa Hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha.
17. Dangote Cement industry
18. Bomba la gesi Mtwara to Dar
19. Hospitali ya Moyo
20. Hakuna watu wasiojulikana.
21. Hakuna mfanyabiashara kufilisiwa.
22. MOI
23. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami, zaidi ya km 14000 zilijengwa nchi nzima.
24. Ujenzi wa Mkondo wa taifa wa mawasiliano, leo tunajimwambafai na internet.
25.Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi Julai.
26. Ajira kila mwaka.
27. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
28. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu.
29. Demokrasia iliyopevuka, na alisema kuwa, hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, siyo kwa kipigo cha Polisi.
30. Atleast tulikula-kula bata, yaani enzi hizo laki si pesa!! [emoji122][emoji120]
Ila jamani tuseme yote kwa idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu kwa sasa kusema wataajiliwa wote na serikali ni ngumu sana
Kipindi nipo mafinga jkt (841 kj) mwaka fulani (between 2011-2016) Kuna mwanajeshi mmoja alikuwa daktar katika zahanati ya pale kikosini alisema "HII NCHI INAHITAJI DIKTETA"
Kudadadek ona hali ilivyo Sasa[emoji23]
Ni ngumu sana kwa ukweli mkuu.Ila jamani tuseme yote kwa idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu kwa sasa kusema wataajiliwa wote na serikali ni ngumu sana
Huwezi kuangalia mazuri ya mtu wakati yupo madarakani kwa sababu kuna mengi yanakuwa yamejificha na hayaonekani kwa sababu atakuwa anayafunika!Sisi tunaangalia mazuri ya mtu akiwa hai, akiwa madarakani, that's how we should roll. Lakini mkuu tulitaka dikteta, refer speeches za Mnyika na Dr. Mihogo.
Huwezi kuangalia mazuri ya mtu wakati yupo madarakani kwa sababu kuna mengi yanakuwa yamejificha na hayaonekani kwa sababu atakuwa anayafunika!Huwezi kuangalia mazuri ya mtu wakati yupo madarakani kwa sababu kuna mengi yanakuwa yamejificha na hayaonekani kwa sababu atakuwa anayafunika!
Mfano mzuri kabisa ni Serikali yaMkapa... RIP Mkapa lakini alifikia kujiita Mr. Clean, na watu wakaamini ni Mr. Clean!!
Ile kuja kutoka madarakani sasa... salale!!!
Tukakuta:-1
1. Kaanzisha AnnBen Company wakati yupo Ikulu
2. Kajiuzia mgodi wa Kiwira,
3. Pesa za EPA,
4. Kagoda
5. Mereremeta,
6. Deep Green
Hayo ni machache tu ya hovyo na kuchefua ambayo yalifanyika under Mkapa Administration lakini hayakufahamika kwa sababu pamoja na Mkapa kujinadi alikuwa ni mtu wa Uwazi na Ukweli lakini serikali yake haikuwa ya uwazi kihivyo!!!
Tukija hoja ya dictatorship, mimi ni mmoja wa watu ambae niliandika zaidi ya mara 3 kuhusu hilo! Lakini binafsi sikutak Rais Dikteta bali nilitaka Dictatorship Constitution itakayowanyoosha watu!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Dictatorship President na Dictatorship President!
Naamini hata hao waliokuwa wanasema wanataka Rais Dikteta walikuwa wanashindwa tu kutofautisha kati ya Rais Dikteta na Katiba ya Kidikteta kwa sababu hakuna mtu in a right mind anaweza kutaka Rais Dikteta wakati Katiba inahubiri Rules of Law!!
Lakini unapokuwa na dictatorship constitution tayari a dictatorship elements inakuwa a part of the law of laws... na muhimu zaidi, inakuwa ni mambo ambayo watu wamekubaliana how to handle different things sio haya ya Magu ya kufanya maamuzi kutegemea na ameamkaje!!!
Hata kwa JPM itakuwa hivi hivi au zaidi.... ataliliwa Sana atakapoondokaTena alitukanwa mnooooo akanuka mzee wa watu mpaka akakonda watu wakasema tunataka rais asiyechekacheka, rais kauza nchi kwa wachina kwa ajili ya mwanae kukamtwa, rais nchi imemshinda dah bin Adam bwn
MATAGA wanaamini kila kizuri ni chao mabaya yote ni ya wengine. Kwa kifupi MATAGA wamejihalalishia kinga ya makosa....Huwezi kuyaona MATAGA hapa...
We miss him and will miss him for sure!!!